Iliyo keketwa

22nd

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2010
Posts
494
Reaction score
137
Mwenye picha ya u.c.h.i uliokeketwa naomba nione, nasikia tu kuna baadhi ya wanawake wamekeketwa, ila sijawahi kuona u.ch.i unakuaje ukishakeketwa.
 
Nenda Taaaaaariiiiime Mkoa wa Mara. wapo wengi tu.
 
jamani wanawake kwa wanaume tuungane kupambana na FGM,

kuna maatizo zaidi ya haya ya kimaumbile. wanawake waliokekektwa mara nyingi wanalaumiwa na hata kusalitiwa na wapenzi/waume zao kwa kisingizio kuwa hawawaridhishi na hii ni kutokana na athari za ukeketaji kwa sababu ukeketaji hupunguza ashiki na hamasa ya kujamiiana ya kiasili na hivyo wanaume huwaona wanawake wa aina hiyo "mizigo" kitandani!

tukumbuke sio makosa yao, bali ya wazazi na walezi wao, hivyo tuwahurumie na tuwachukulie katika udhaifu wao huo kwani hawakupenda kuwa hivyo.

zaidi tuhakikishe kuwa watoto wetu, ndugu zetu na majirani zetu hawakeketwi tena.

Glory to God!
 
Khaaa hii kitu ni mbaya sana jamani.... Kama alivyo sema Dada Judith hapo juu ni jukumu letu sote kupambana na iliswala maana lina athari nyingi sana kwa wanawake pia hadi kwa wanaume, maana me mwenyewe nilikuwa na mchumba ambaye nilimpenda sana alikuwa anatokea Mkoa wa Mara kiukweli alikuwa mdada mzuri sana na nilimpenda sana kutokana na tabia yake ya utulivu na heshima aliyokuwa nayo kwa watu

Katika mahusiano wetu tulidumu zaidi ya miaka 2 pasipo kufanya tendo la kujamiana kutokana na yeye mara nyingi kuni kwepa na kuniambia ni vumilie hadi tutakapo funga ndoa, pia aliwahi kuniambia kuwa hapendi hilo tendo, kutoka na uelewa wangu na kutokuwa mdadisi sana wa hayo mambo sikuweza kung'amua chochote hadi siku moja nilipo mshawishi hadi nikatoa machozi ndipo alipo nikubalia na kuniambia ukweli wa mambo

Kuwa yeye amefanyiwa ukeketaji na kwamba hapendi ilo tenda kwa sababu huwa anapata maumivu makubwa mno afanyapo tendo ilo,kwa kuwa nilikuwa sijui athari za ilo tendo nilimshawishi kuwa nitamuandaa vizuri ili asipate maumivu, Dah uwezi amini dada ya watu alikubali na tukajiandaa kwa tendo hilo, sikuwa na haraka sana nilimuandaa kwa takribani kakika 45 hivi, pasipo kuonyesha dalili zozote kuwa anasisimka kwa kile nilichokuwa nakifanya kwenye mwili wake


Ilo jambo lilinishangaza sana kwani nilipo mtizama kwa makini niligundua kuwa alikuwa na hofu sana,nilipo muhoji kwa nini anakuwa na hofu namna hiyo aliniambia kuwa anajua atapata maumivu makubwa sana kutokana na kovu lililopo kwenye mlango wa uke wake.... Nilimuomba kumvua nguo ya ndani kwa ajuli ya hilo tendo nikiwa nataka kuona hicho anacho kihofia, kusema kweli nilipoona uke wake nilitetemeka sana kutokana na jinsi sura ya uke ilivyokuwa inatisha kwa kuwa na makovu ya mithihiri ya mtu aliyekatwa na kitu kwenye mkono au mguu na kivu lake kubakia pale, Uume wangu ulinywea kama vile umepuliziwa dawa ya usingizi

Sikuweza kuendelea na liletendo tena kwa jinsi nilivyo jisikia vibaya kwa picha ile niliyoiona kwa yule mdada, nilibaki kutokwa na machozi....Nilipomuhoji sana kama amewahi kushiriki tendo la ngono alinijibu ndio na akaniambia mara zote amekuwa anapata maumivu sana ambayo mara nyingine yana mpelekea kushindwa kutembea. Ndipo nilipo mpeleka Hospital kwa wataalamu wa maswala ya wanawake na wakagundua kuwa katika kukeketwa kwake kovu la kidonda lilifunga kwa nje tu na kwa ndani bado kidonda akikufunga,hivyo alipatiwa matibabu ya kufanyiwa upasuwaji mdogo na atimaye kidonda kilipona


Na tulipo jaribu kufanya liletendo sikuwa naweza kumuingilia kimwili kwani kila nilipojaribu kupeleka uume wangu karibu na uke wake uume wangu uli lala na kushindwa kuendelea na hilo tendo, tulijaribu mara nyingi sana na sikuweza kufanya liletendo nae, hapo ndipo ulipokuwa mwisho wa uchumba wetu kwani ile hali yake iliniathari sana.... Bahati nzuri alipata mwanaume ambaye alimuona na sasa ana watoto wa 2, na anaweza kushiriki tendo la ndoa pasipo kupata maumivu aliyokuwa anayapata hapo awali, japo aliniambia ajawai kusikia raha ya kufikishwa kileleni kwa njia ya kuingiliwa kimwili......
 

Huyu wa kushoto ni kama anaingiliwa kinyme na maumbile. ila kwa hali hiyo maybe that is the way to go about sex...
 
dont try try, before try tries you!!..ulikuwa unajaribu mkuu?

Sijamjaribu mtu, ila sijategemea kuona picha za kutisha hivi, na wala siwezi kuangalia mara mbili hizi picha, very scary. nimekosa raha siku nzima.
especial huyo mtoto aliyeshikiwa kiwembe.

Sikutegemea kuona damu, au watoto, I just wanted to see pu.s.sy iliyokeketwa ikoje.

Dont take me wrong mazee.
 

jamani kwa kweli hadi machozi yamenitoka kw hiki kisa chako Uncle Rukus!

ubarikiwe sana mpendwa kwa msaada wako kwa huyo rafiki yako kwa kumpeleka hospitali na hivyo kumuwezesha kuolewa na hata kupata watoto! kama si wema wako huo, labda hata angekufa kutokana na uzazi! ubarikiwe sana mpendwa na kwa kweli ukeketaji wa namna hiyo ni unyama kuliko hata ujambazi. kwa kweli afadhali hata jambazi usipombishia huchukua vitu anavyotaka tu na kukuachia mwili wako, ila huu ukeketaji hudhuru mwili na kukuachia ulemavu kwa visingizio vya kijinga sana.

hebu fikiria msichana wa watu anapoolewa anajikuta hawezi kushiriki tendo la ndoa kwa maumivu anayopata, au hata akijilazimisha anashindwa hata kutembea achilia mbali kufika kileleni na kulifurahia tendo zima! hata wanaume wakiwa na mtu kitandani asiyeonekana kutoa ushirikiano hujisikia wapweke na waliopungukiwa raha waliyokuwa wanaihangaikia kwa kutongoza, kubembeleza na hata kuhonga,

Uncle anasema yeye alipata hofu na hakuweza tena kukata kiu yake na kwa kweli hata kiu yenyewe iliyeyuka! immagine wangekuwa wameishafunga ndoa na hali hiyo ikajitokeza huko ndani, majaliwa ya hiyo famila yangekuwaje?

jamani jamani, tusikubali tena unyama huu! kisa cha Uncle kinadhihirisha wazi kuwa ukeketaji huathiri wote, wanaume kwa wanawake.

Mungu atutangulie katika vita hii
 
Aisee......... sijui kwanini nimeifungua hii sredi..........
 

Judith , Kusema ukweli katika mitihani niliyowai kukumbana nayo kwenye maisha yangu naweza kusema huu ndio sitakaa niusahau ndani ya maisha yangu,Maana nilipita kwenye kipindi kigumu sana... Tuliachana na yule dada kwa kuwa tu sikuwa na tiba ya tatizo lililo hamia kwangu kutokana na ukeketiji aliyofanyiwa kuniathiri mimi...


Kusema kweli ukeketaji ni mbaya watu mtashangaa kwa nini hii kitu ina niuma sana ila ukweli ni kwamba najua athari za aliyefanyiwa kitendo hicho kwani nimeishi na mtu wenye kufanyiwa kitendo hicho na najua madhara yake jinsi yanavyo mkosesha mtu amani ya kuishi hata na mwanaume.... Huu na weza kusema ni ukatili wa hali ya juu kuwahi kufanyika kwa binadamu maana ni kitu kinachoweza kumuathiri kwa maisha yake yote...


Jamani tupambane kwa nguvu zote kukomesha ukeketaji tukiwafishua wausika wa hivi vitendo hata kama ni wazazi wetu,kwani ni kitendo kibaya ambacho kitaathiri watu wengi na siyo muhusika tu.
 
Haaa!!! Huyo mtoto kanitia uchungu si kawaida!!! Mtoto mdogo hivyo dah!!! Imenisikitisha sana!!
 
jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Aisee wewe 22nd umeniharibia nyege zangu!
 


Huyu wa kushoto ni kama anaingiliwa kinyme na maumbile. ila kwa hali hiyo maybe that is the way to go about sex...

kwa kweli jinsi maumbile yake yalivyoharibika, akiingiliwa njia ya kawaida anaweza kupiga mayowe kama anachinjwa! mi naona ni kama uke umefunga kabisa kwa kovu na kuacha katundu kdogo tena chini kabisa karibu na njia ya haja kubwa, na hata kukojoa sipati picha anavyokojoa!

yaani, jamani unyama huu unatisa sana.

Mungu tuhurumie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…