Iliyo keketwa

Huwa tunasikia tu kukomesha ukeketaji,,ila kwa sasa nimewaelewa,.Nawaonea huruma wote walio fanyiwa UNYAMA HUO,.
 
[video=youtube_share;4kEcWIB4uP8]http://youtu.be/4kEcWIB4uP8[/video]

Mpendwa hakuna sababu ya wake zetu uitwa "mizigo" ???!!! Siku zote kuna namna ya kuishi na tatizo ambalo huna jinsi ya kulibadilisha.

Maeneo ya Afrika kaskazini, FGM ni tatizo kubwa lakini haizungumzwi na watu wengi wamekuwa wakiumia kimyakimya, hivyo baadhi ya akina mama wamebuni namna ya ku-manage hiyo hali kwa wale ambao tayri wamekeketwa, mfano ni link ya video niliyoweka hapo, believe me imejaribiwa na imeleta nafuu kubwa. Kuna video documentary za kuelekeza kwa kina lakini imekuwa nguma ku-appload.
 
Ni unyama wa hali ya juu, inabidi tuungane kukomesha unyama huu!
 
kwa wale ambao bado kujua athali za ukeketaji wataona kama jambo dogo lkn kiukwel lapaswa kupngwa na wote
 
Mwenyezi Mungu ni mbora wa kuumba na alipomuumba mwanamke na maumbile aliyonayo, alijua kazi kazi yake. Ni kitendo cha dhulma sana kumkeketa mwanamke na walaaniwe wale wote wenye tabia ya kukeketa wanawake
 
SITAKUBALI SITAKUBALI MTOTO WANGU AFANYIWE HIVI HII HATAKAMA NATOKA KATIKA JAMII HII NI UNYAMA SIJWAHI ONA
MUNGU WANGU
TUPINGE TUPINGE WAJAMENI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

:director:

:bolt:
 
Mwenyezi Mungu ni mbora wa kuumba na alipomuumba mwanamke na maumbile aliyonayo, alijua kazi kazi yake. Ni kitendo cha dhulma sana kumkeketa mwanamke na walaaniwe wale wote wenye tabia ya kukeketa wanawake

Uncle, this is a very sad story. Nami nina mchumba ambaye nahis kafanyiwa unyama huu maana hafurahii tendo hata tukijiandaa kwa saa nzima. Hana kovu ila kwakweli sioni kisimi. Hata sijui cha kufanya.
 
Uncle, this is a very sad story. Nami nina mchumba ambaye nahis kafanyiwa unyama huu maana hafurahii tendo hata tukijiandaa kwa saa nzima. Hana kovu ila kwakweli sioni kisimi. Hata sijui cha kufanya.

Muulize vizuri atakueleza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…