NIMEKUA JAPO NI KIDOGO.
Nimefikisha umri wa miaka 27, ninaishangaa akili yangu inayoanza kunirudisha miaka kumi na mitatu 13 nilipokuwa shule ya msingi huku ikiniambia itazame jamii yako.
Nilisoma adithi ya Kisa cha Simba na sungura, Simba alikuwa ni mfalme aliyeamua wazee wote wauwawe hakuhitaji jamii ya wazee, yeye aliwaona kama wategemezi na sio wazalishaji. Sungura alimficha babu yake na wazee wengine wakauwawa. Siku moja simba huyo alienda kwenye ngoma akanywa na kuzima (kulewa) alila mdomo wazi. Nyoka aliingia tumboni mwa simba yule kupitia mdomoni kwa kudhani ni pango. Simba alipata tabu sana, aliyekuja kumwokoa ni Babu yake Sungura kwa sharti la Sungura alipomtaka simba amtunze babu yake, babu sungura alikuja na panya na kumfinyia mdomoni mwa simba panya alipotoa sauti na nyoka aliisikia ile sauti alitoka mbio tumboni mwa simba. Babu sungura alimwachia yule panya na nyoka alipoona hivyo alimkimbiza hadi porini siku hiyo simba alipata tiba aliyokuwa ameikosa kwa muda mrefu.
Kisa hiki cha nitafakarisha juu ya Madai ya katiba mpya.
Najiuliza iliyopo haijitoshelezi?
watu watajibu ndio.
Nikijiuliza iliyopo inatekelezwa?
kila mmoja atajibu kwa matakwa yake.
Walioichonga dira ya Tanzania na kututangazia maadui watatu na wengine wa ziada bado tiba yao hawa maadui ipo kwenye katiba iliyopo, "tuitekeleze kwa ufanisi", kabla ya kuiterekeza na kudai mpya.
Uhuru wa vyama vya Siasa bado hupo humu, mfumo wa vyama vingi bado hupo humu, mgombea binafsi bado yupo humu, Ukomo wa madaraka bado hupo humu, uhuru wa kutoa maoni bado hupo humu, tume ya uchaguzi huru bado ipo humu, Viongozi kuongoza chini ya katiba bado vipo humu.
Kabla ya kuidai mpya inabidi kuisoma vizuri iliyopo na kuitekeleza ijapokuwa mabadiliko yanahitajika kulingana na sayansi na teknolojia ya sasa lakini itekelezwe kwa vitendo hii iliyopo bila ya kuibaka/kuipoka nguvu iliyonayo.
#iliyopoinatekelezwa??