I'll marry for money and my kids will marry for love

Watoto hawajafika hoe phase wakifika ndio utajua ni hela au ni love ... huwez kuwa na maamuzi ya namna gani mwanao aolewe na mtu gani, tena wa hivi ndio wanakuaga wa kwanza kumwambia watoto wao wawapige chini broke guys...
Zamani mwanamke kama huyo alikuwa anaitwa shangingi au papa la mjini, lakini siku hizi wanaitwa sijui ma-celebrity, sijui ma-influencer. Waliitwa ''papa'' wakifananishwa na yule samaki mkubwa anayeitwa papa, kuwa huwezi kumla peke yako, bali anakatwa vipande vipande na kila mwenye fedha yake ananunua na kula kwa wakati wake.
 
Wanaitwa bad girl
 
Leo ndiyo nimeelewa tafsiri halisi ya malaya kuitwa 'papa'!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…