Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,807
- 17,416
Wanawake bwana..
Aziz is One Salary away from Poverty...
Kaz anayofanya iki seaze na maisha yanabadilika...
Ila Mwanaume kuowa mwanamke mwenye watoto baba tofauti... Nampa hongera huyo dada, hata kama ni vipi, amecheza kama pele..
Dogo anaenda penzini kuogelea
Anyways ni maisha ya maslay queen na ma celebrity wa bongo ila
Ukipata fala kama huyo usilaze damu.