joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Huyo bilionea wa Kinaijeria Ned Nwonko, yy anaoa mabikra tuu.Kwahyo anapokuta hakuna bikra haoi,maana anasema yeye hana mambo ya kudate,ni wiki 6 tu baadae ndoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo bilionea wa Kinaijeria Ned Nwonko, yy anaoa mabikra tuu.Kwahyo anapokuta hakuna bikra haoi,maana anasema yeye hana mambo ya kudate,ni wiki 6 tu baadae ndoa
Kama kawaidaTako la mrembo hapa limenichanganya
Tako la niniBalaa zito hilo na wewe tako huna sasa itakuaje? Ila mtoto mzuri English figure una nyumbulika kwenye 36
Yan kama Paula alivyofata pigo za mamake ?...Mama mwonee huruma baba watoto wako....KAZI TUNAYO, hii ndio aina ya wanawake tunaodeal nao mtaani...Nipo church nakuombea.Once I lead they'll follow
Akili watachukua Zangu they'll never settle for less
Unatamani kula vinono lakini mfukoni huna pesa SI ajabu kusema sizitaki mbichi hiIziLazima mfuko uwe unaongea
What is happiness?So you will sacrifice your happiness for those entitled spoiled brats ?
Ukiwa huna pesa sura inazeeka sana ama inakuwa haina mvuto, pia unakuwa hujiaminiMy happiness is money for now
How far sure are you if your kids won't emulate your role of gold digger and soul vendor?Asante sana Hamissa Mobeto
Ukweli mchunguSana, na asikudanganya mtu kuwa kuna wanaume eti ma-handsome na wabaya. Wanawake wanaona wanaume wenye hela na wasio na hela tu, hayo mengine ni bullshit.
Unaishia kwa furaha bora kuishi ulivyo bila kuigizaHeri Mimi sina
I don't fake
We ms£nge nini? Unanijua?Wakati huo wewe ushatumika mnooo 😅 😅
Mwenzako hamisa ni brand kubwa wewe mwajuma ndala ndefu inakuaje apo sasa🤣🤣🤣🤣🤣
Ukwelii unauma mnooo 😅😅😅😅😅😅😅We ms£nge nini? Unanijua?
Ulivyomuona mama yako kaolewa na mlevi unajua wote wauza chimpumu?
Nilitumika na baba yako? Acha shobo ntakudinya we tingisha kalio kwenye comment zisizokuhusu…!!
Acha shobo utadinywa, ukweli upi na hunijui kunguni mweusi wewe..!!Ukwelii unauma mnooo 😅😅😅😅😅😅😅
Pole