Illuminati or Perfectibilists in Tanzania

Mkuu

FreeMason na Illuminati zote hizi ni secret socities zinazojitegemea. Freemasons haiko ndani ya Illuminati. Kumbuka zipo nyingi sana na hizi ndizo zinazoongoza dunia kisiasa na kiuchumi. Nitakutajia chache....Skull and Bones, Bilderberg group, Knights Templar, Opus Dei, SCAN, New world Order etc etc...Kila society ina taratibu zake na sheria zake. Ziko tofauti kulingana na imani. Kuna vitu kama 5 vinavyofanana kwenye hizi societies

  1. The oath of secrecy
  2. Oath against division
  3. Oath of absolute obidience
  4. Oath of Honest
  5. oath of support
Member anapokiuka basi hupewa adhabu kali, kama kifo, eyeballs pierced and even feet being flayed.

Ukitaka zijua tafuta vitabu hivi The Da vinci code na Holy Blood, Holy grail

Kuna kitabu nasoma cha Sylvia Browne ameelezea sana......kuna maraisi wa nchi nyingi na most powerful peoples wako kwenye hizi secret societies
Kwa kuongezea mkuu zipo kama Rossicrussian, club of Rome, Theosophical society, knight of Columbus n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna secret societies nyingi sana, ila jambo moja la kufahamu ni kwamba zote zimeanzishwa ili zifanye kazi kwa siri kwa malengo maalum (undercover operations). Societies zote hizo zimeanzishwa na Jesuits Society (au Jesuits Order). Katika ngazi ya juu ya taasisi hizi (Inner circles) zinaripoti moja kwa moja kwa "Black Pope" (aka Superior General ) ambaye ndiye mkuu wa Jesuits Society. Kwa kuwa Jesuits Society in taasisi ya ndani ya Vatican, ina maana kwamba kiongozi wa kanisa Katholic (Pope) yeyote yule ni lazima awe mwanachama wa Jesuits. Kwa kuwa Jesuits wanafanya kazi (undercover) kwa niaba ya Vatican. Utagundua pia Jesuits ndio walianzisha uislam. Catholic and Islam have one goal, one purpose, one objectives (At the inner circles), ingawa waumini walio wengi hawajui kinachoendelea kama ilivyo kwa secret societies nyingi.

Ukitaka kujua zaidi jinsi wanavyofanya kazi fuatilia presentation hii (well referenced) Much has been written on secret societies and there are numerous speculations as to which powers control them. The nature of secrecy is such that the real power behind the power should remain exactly that-Secret. In this lecture, clear evidence is pr

Pia How Islam is connected to the New World Order Movement
kwa andiko lako unalozamiria kuuandama uislam nakutoa wasiwasi kijana vatican hawana uwezo na wala hawatokua na uwezo wa kuingilia uislam ,ijapo kua wanajiaribu kubuni quran yao ili watu waikengeuke ile iliyoshushwa kwa mtume s.a.w kupitia jibril,toleo la quran na toleo la biblia ukifuatilia kiundani kwa kutaka kujua lipi hua linatiwa tiwa mikono sana na watu basi utagundua kua ni biblia but quran tuna pindi za miaka bado ipo palepale maana alieileta ameahidi kua atailinda .ukristo ni ukuta wanaojifichia freemason ili wasionekane athari yao katika jamii japo kua inajitokeza maana ndani ya ukristo ushetani umejaa kuanzia makanisani,mungu anaswaliwa kwa ala za muziki ,nafikiri laitan ingelikua hakuna vifaa vya mziki sjui mungu angeabudiwa vipi,istoshe kwa upande wa vinyago vilivyoundwa na wanadam wenyewao kanisani utaona full masanam yaliosheheni kwenye misalaba.vatican hawatotia fitna ndani ya uislam maana tunajua kua hawatokua radhi mayahudi na manasara mpaka tufuate mila zao
 
Ndio kazi ya elimu na Mitaala duniani Mkuu ndio financier wa research zote muhimu kwa ajili ya kukufanya uwe katika order.

Hata kufundishwa 2x2 = 4 ni kukuweka katika order
vyuoni ndo wameota pembe maan unazani ukiachana na yale makabrasha yanayovaliwa siku ya graduation koukweli hat wao wanayo
 
Freemanson. Kwa Hapa bongo wako wainjilisti maarufu,
mitume maarufu,
manabii maarufu,
wachungaji, waimba kwaya maarufu nchini, hadi wanafunzi secondary wa form two , wasanii wa bongo fleva.

Inasemekana katika kumu-initiate member mpya, wanamchoma na chuma cha moto kwenye mguu na kumwachia kovu.( kama ile style ya kumbramd ng'ombe kwaajili ya identification.)

Inasemekana ibada zao. Zinahusisha
Kukaa uchi kwenye majumba yao,

Kutukana(kukufuru) kwa njia saba jina la Mungu,

Kula damu za watu,

Kutoa kafara ndugu zao wa damu.

Kufanya ngono kwenye ibada zao.

Pia kuna kitengo maalumu cha kuulea ushoga. Ushoga ni pando la shetani. Dont doubt.
( ndio maana ulaya kuna makanisa mengi yenye kuuafiki ushoga utakuta yale makanisa yameanzishwa na hawa watu)

Na inasemekana ijumaa ndio siku yao ya kutoa kafara.

Kimsingi ukiona mtu anaimba kwaya lakini hayaishi yale anayoyaimba, huyo anAweza kua memba. Umaarufu wake usikuzuzue..usiwe na sympathy na uovu.

Inasemekana viongozi wa kidini walio member.

Mmoja yupo ubungo, mwenge na wengine wako mikocheni A. From kenya.

C&P.
ukristo ni genge wanalojifichia freemason kwa kutekeleza agenda zao maana mpaka kufikia mkuu wa vatican papa kutokua na hofu yoyote juu ya ndoa ya jinsia moja wote wanajuana .
 
Conspiracy theorists believe there's an elite group of powerful peoples who controls the world. Illuminati People are freethinkers, with Enlightenment, and intelligent. Do we have these Illuminati in Tanzania? People who controls everything, predict our future etc....and who are the members ? or Illuminati elite do not exist in Bongoland?

Masa
On top is satan, the devil or lucifer, he being the enforcer the power behind all these shady groups.
The question should be does satan operate in bongoland ?
 
Hayo mambo ya kafara ni mambo yao ya ndani, usipokuwa uu mmoja wao huwezi kujua. Mimi nilitaka kujiunga, nilipofika stage ya kula kiapo cha usiri ili nifanyiwe initiation, nakaogopa, sijuendelea.
P
Funguka step by step mkuu nadhani kwenye mafail na benki ya takwimu yao upo
 
kwa andiko lako unalozamiria kuuandama uislam nakutoa wasiwasi kijana vatican hawana uwezo na wala hawatokua na uwezo wa kuingilia uislam ,ijapo kua wanajiaribu kubuni quran yao ili watu waikengeuke ile iliyoshushwa kwa mtume s.a.w kupitia jibril,toleo la quran na toleo la biblia ukifuatilia kiundani kwa kutaka kujua lipi hua linatiwa tiwa mikono sana na watu basi utagundua kua ni biblia but quran tuna pindi za miaka bado ipo palepale maana alieileta ameahidi kua atailinda .ukristo ni ukuta wanaojifichia freemason ili wasionekane athari yao katika jamii japo kua inajitokeza maana ndani ya ukristo ushetani umejaa kuanzia makanisani,mungu anaswaliwa kwa ala za muziki ,nafikiri laitan ingelikua hakuna vifaa vya mziki sjui mungu angeabudiwa vipi,istoshe kwa upande wa vinyago vilivyoundwa na wanadam wenyewao kanisani utaona full masanam yaliosheheni kwenye misalaba.vatican hawatotia fitna ndani ya uislam maana tunajua kua hawatokua radhi mayahudi na manasara mpaka tufuate mila zao
hakuna koran iliyoshushwa, hii iliyopo ilibuniwa na wakatolik katika jitihada zao za kutaka ushawishi mashariki ya kati
 
kwa andiko lako unalozamiria kuuandama uislam nakutoa wasiwasi kijana vatican hawana uwezo na wala hawatokua na uwezo wa kuingilia uislam ,ijapo kua wanajiaribu kubuni quran yao ili watu waikengeuke ile iliyoshushwa kwa mtume s.a.w kupitia jibril,toleo la quran na toleo la biblia ukifuatilia kiundani kwa kutaka kujua lipi hua linatiwa tiwa mikono sana na watu basi utagundua kua ni biblia but quran tuna pindi za miaka bado ipo palepale maana alieileta ameahidi kua atailinda .ukristo ni ukuta wanaojifichia freemason ili wasionekane athari yao katika jamii japo kua inajitokeza maana ndani ya ukristo ushetani umejaa kuanzia makanisani,mungu anaswaliwa kwa ala za muziki ,nafikiri laitan ingelikua hakuna vifaa vya mziki sjui mungu angeabudiwa vipi,istoshe kwa upande wa vinyago vilivyoundwa na wanadam wenyewao kanisani utaona full masanam yaliosheheni kwenye misalaba.vatican hawatotia fitna ndani ya uislam maana tunajua kua hawatokua radhi mayahudi na manasara mpaka tufuate mila zao
KUMBUKA nyota na mwezi kwenye majengo ya waislam, yaani misikiti nazo ni sanam
Pia qoran siyo perfect kwa kuwa wakati mtume alipokuwa akidai ameshushiwa alikuwa akiwakaririsha wahuni wenzie
na wakati anataka sasa ku compile 300 kati ya hao waliokaririshwa walikuwa wameishakufa,ukamilifu wake uko wapi
nakubaliana na wewe kuhusu masanamu ya vatican, siyo sawa kuweka sanamu na kuziabudu, pia kumbuka vatican ni upagani uliojificha kwenye ukristo, kwani wanakiri kuwa hawafuati biblia bali tamaduni zao
Na sanamu kubwa kuliko sanamu zote ni jumapili, Yes! Jumapili ni sanamu ya jumamosi
Ibada ni siku ya Jumamosi ,yaani siku ya saba ya week. ila wao wakachonga sanamu yao jumapili kuwa mbadala wa jumamosi
 
Conspiracy theorists believe there's an elite group of powerful peoples who controls the world. Illuminati People are freethinkers, with Enlightenment, and intelligent. Do we have these Illuminati in Tanzania? People who controls everything, predict our future etc....and who are the members ? or Illuminati elite do not exist in Bongoland?

Masa
we have chama tawala who controls everything
 
KUMBUKA nyota na mwezi kwenye majengo ya waislam, yaani misikiti nazo ni sanam
Pia qoran siyo perfect kwa kuwa wakati mtume alipokuwa akidai ameshushiwa alikuwa akiwakaririsha wahuni wenzie
na wakati anataka sasa ku compile 300 kati ya hao waliokaririshwa walikuwa wameishakufa,ukamilifu wake uko wapi
nakubaliana na wewe kuhusu masanamu ya vatican, siyo sawa kuweka sanamu na kuziabudu, pia kumbuka vatican ni upagani uliojificha kwenye ukristo, kwani wanakiri kuwa hawafuati biblia bali tamaduni zao
Na sanamu kubwa kuliko sanamu zote ni jumapili, Yes! Jumapili ni sanamu ya jumamosi
Ibada ni siku ya Jumamosi ,yaani siku ya saba ya week. ila wao wakachonga sanamu yao jumapili kuwa mbadala wa jumamosi
Tulidanganywa, mkuu...katika Ibada Kila kitu ni sanamu...Kwa kuwa hakuna ajuaye Kwa hakika asili ya uumbaji bali mfano wake...hivyo tukiombacho ni mfano na tukipatacho ni mfano na sisi pia ni mfano wake...dini zote hizi za sasa hakuna ambayo ilitokea tu...zote ni mwendelezo wa dini za zamani...ukitaka kujua ukweli fuatilia alama za hizo dini...alama ya mwezi na nyota ilishatumiwa kabla ya uislamu, Mungu wa kike Inanna au Ishtar alishakuwa na alama hii..Mungu Sin naye ashaabudiwa Kwa alama hiyo...pia Mungu mwezi Hubal au Allah na wanawe wa kike Al lat, Al Uzza na Manat (wakiwakilisha sayari Venus)...Mwezi ni rangi ya silver white siku yake jtatu na venusi rangi ya kijani siku yake ni ijumaa...na rangi kuu za misikiti ni nyeupe na kijani...ukristu nao ni dini ya Mungu Jua na siku yake ni jpili na msalaba ni alama ya Jua na umetumika hata kabla ya ukristo...Mnaambiwa msijifunze Elimu ya Nyota (unajimu)lakini hizi dini zote zimetokana na Elimu hiyo...kitabu Cha Stellar Theology & Masonic Astronomy kinaeleza vizuri...
 
yaani unakuta muislam anakomaa na sanamu za roman catholic, sasa yeye hizo nyota na mwezi ni nini kama siyo sanamu?

Kutoka 20:4-6​

Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu chochote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia. Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao, nami nawarehemu maelfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.

Hii amri warumi waliiondoa kwenye catheksm yao
 
On top is satan, the devil or lucifer, he being the enforcer the power behind all these shady groups.
The question should be does satan operate in bongoland ?
The answer is yes...hizi secret societies hazikusambazwa duniani Kwa bahati mbaya ila zina kazi maalumu...Kwa mfano Tanzania, freemasonry ililetwa mwaka 1905...maana yake ni ya zamani zaidi ya Tanzania...halafu unaweza kukuta baadhi ya misingi ya kiuongozi, madaraka na itifaki za nchi zimechukuliwa kutoka humo...
 
Back
Top Bottom