I'm a new member

I'm a new member

Endiamasi

Member
Joined
Apr 7, 2013
Posts
53
Reaction score
5
Habari za jioni hii Wana JF, Baada ya kuwa msomaji wa habari za jf kwa muda mrefu hatimaye na mimi nimejiunga ili niweze kuwa mchangiaji. Naomba mnikaribishe akina chibolo ,emeka anyauka, nyani ngabu, mbuzi mzee na wengineo. Naomba kuwasilisha.
 
Karibu sana JF jamvi linalopendwa na Watanzania ndani na nje ya nchi.
 
Back
Top Bottom