I'm back.. Niliwamiss sana sana

relato

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2017
Posts
689
Reaction score
986
Habari wana Jf,
Niliwamiss sana sana.
Ninatumaini wote wazima kabisa...

Mimi Nina endelea vizuri wana jf,kwa kweli ninashukuru sana kwa maombi yenu since June mpaka September nilikuwa ninauguza majeraha baada ya kupata ajali,iliyopelekea damage ndani ya kichwa changu,but now Nina endelea vizuri. Nimeruhusiwa hata kutumia simu japo sio kwa muda mrefu lakini naweza kuwa naingia jf kila siku bila kukosa[emoji2] [emoji2] [emoji2] .

To great thinkers,
Nawashukuru kwa maombi yenu,na salamu zenu nyingi nilikuwa nazipata kupitia rafiki yangu kipenzi Maserati. Zaidi ya shukrani,napenda kuwaambia nawapenda...

Special thanks to
Maserati you are my sister now,sio rafiki tena. Ulikuwa nami bega kwa bega muda wote niliokuwa napigania hali yangu ya afya.
Saint Ivuga na mdogo wetu C..

I'm back guys... Let's keep chatting.
 
Pole sana, usisahau kutoa shukrani kwa MUNGU.

Get based!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…