I'm back.. Niliwamiss sana sana

Kuacha dhambi ni daraja ya juu ya utukufu ambayo si rahisi binadam akalifikia,lilo muhimu ajitahidi kuepuka madhambi makubwa makubwa, Nampendaga huyu dada relato aelekea ana kaupole fulani hivi au sio Maserati?
Ha ha ha ha Haa. Unataka kumchokoza rafiki angu...
Asante mkuu.. Ni kujitahidi kupunguza dhambi na kukwepa tunazo ziweza. Since I'm not perfect.... Siwezi kukwepa dhambi totally
 
Karibu sana mamy tulikumiss kweli Mungu ni mwema nilipata salaam zako kwa sakayo kipenzi jaman ubarikiwe tunakupenda sana
Wow. Shunie,asante Sana. UNaendeleaje wewe???nilisikia hauko vizuri
 
Pole sana mdau pole sana usisahau kumshukuru mungu akupe uzima zaid karibu tena.Jukwaa la siasa usiingie sana huko kutakupatia stress kuepuke kipindi hiki unamalizia matibabu
Asante, kwa ushauri pia..
 
Kuacha dhambi ni daraja ya juu ya utukufu ambayo si rahisi binadam akalifikia,lilo muhimu ajitahidi kuepuka madhambi makubwa makubwa, Nampendaga huyu dada relato aelekea ana kaupole fulani hivi au sio Maserati?
Huyo mpole? ?? Yes mpole kwa wengine, kwangu mkorofi sana
 
Pole sana, ajali zinatesa jamani sikia tu kwa mwenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…