I'm back.. Niliwamiss sana sana

I'm back.. Niliwamiss sana sana

Pole sana mkuu. Naamini kama Mungu alivyokuepusha na madhara zaidi atakujalia upone haraka.. Mungu ni mwema siku zote

Karibu tena jamvini.
 
Karibu sana mamy tulikumiss kweli Mungu ni mwema nilipata salaam zako kwa sakayo kipenzi jaman ubarikiwe tunakupenda sana
 
Pole sana mdau pole sana usisahau kumshukuru mungu akupe uzima zaid karibu tena.Jukwaa la siasa usiingie sana huko kutakupatia stress kuepuke kipindi hiki unamalizia matibabu
 
Pole sana baby Relato, Mungu hazidi kukupa afya njema pamoja na maisha marefu.

Wellcome again...
 
Pole sana mkuu. Naamini kama Mungu alivyokuepusha na madhara zaidi atakujalia upone haraka.. Mungu ni mwema siku zote

Karibu tena jamvini.
Asante, nashukuru.
 
Back
Top Bottom