Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,604
- 20,085
Wacha weee...wewe tu Hamna zaidiNi mie mwenyewe, mwingine atakuwa mchepuko tuu.... Niambiee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha weee...wewe tu Hamna zaidiNi mie mwenyewe, mwingine atakuwa mchepuko tuu.... Niambiee
UmeonaeeWacha weee...wewe tu Hamna zaidi
Kichwa chamuumaNini mbaya??
Ana nini shunie??She's not feeling well....
Hapana mama mjengoUmeonaee
Naona unataka kuanza uchochezi
Kichwa chamuuma mamyAna nini shunie??
Habari wana Jf,
Niliwamiss sana sana.
Ninatumaini wote wazima kabisa...
Mimi Nina endelea vizuri wana jf,kwa kweli ninashukuru sana kwa maombi yenu since June mpaka September nilikuwa ninauguza majeraha baada ya kupata ajali,iliyopelekea damage ndani ya kichwa changu,but now Nina endelea vizuri. Nimeruhusiwa hata kutumia simu japo sio kwa muda mrefu lakini naweza kuwa naingia jf kila siku bila kukosa[emoji2] [emoji2] [emoji2] .
To great thinkers,
Nawashukuru kwa maombi yenu,na salamu zenu nyingi nilikuwa nazipata kupitia rafiki yangu kipenzi Maserati. Zaidi ya shukrani,napenda kuwaambia nawapenda...
Special thanks to
Maserati you are my sister now,sio rafiki tena. Ulikuwa nami bega kwa bega muda wote niliokuwa napigania hali yangu ya afya.
Saint Ivuga na mdogo wetu C..
I'm back guys... Let's keep chatting.
Ataitika mwaya...Mpe pole jamani,Mungu amponye haraka
Hahaha [emoji124] [emoji124] [emoji124]Hapana mama mjengo