Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Seriously waungwana tupeane kampani kama umeboreka Kama mie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hap hapa inatoshaKampani ipi na umefunga PM?!
🚮Hap hapa inatosha
Meaning??
Hapana ipo hapa naishika shika ila unaweza choka tu kukaa mahali pamojaUtakuwa unahitaji dushe😁😁😁
Sijakuelewa ila hata hapa inatosha tuNjoo kwangu nikupe company
Sawa Mzungu hapa tz umesheelewa maana yake au andika nilivyopaswa kuandikaSio board ni bored hiyo uliyoandika ni ile bodi ya wakurugenzi kwenye ofisi au kampuni badilisha kwanza halafu tuendelee na mada kuuu la sivyo mjadala ufungwe oda.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Mimi nimekuelewaSijakuelewa ila hata hapa inatosha tu
Sitaki mazoea machafu"I'm board" ndio nini tena jamani?
Bado hawajakubadilishia dawa?
Unatumia simu gani haina automatic correction pisi kala kama ww kuandika hvyo unashusha brandSawa Mzungu hapa tz umesheelewa maana yake au andika nilivyopaswa kuandika
Njoo kwangu nikupe company
Unashika dushe huku unachat jf au ni ile ya mchongo🥵🥵Hapana ipo hapa naishika shika ila unaweza choka tu kukaa mahali pamoja
Bored siyo board (member?)Seriously waungwana tupeane kampani kama umeboreka Kama mie