I'm bored nipeni kampani

I'm bored nipeni kampani

Acha uchokozi amesharudi ila hayupo kama wewe saivi upo online . Unakesha anaenda Kwa ratiba.
Akitoka job kuoga,kuomba kula ,taarifa ,kunifanyia massage ,kulala kesho siku ,maombi,mazoezi,kula,kazini,mchana anarudi home kula ,maombi ,kulana,kazini hadi saa kumi na mbili.

So sio wewe huna ratiba,huombi unalia Lia tu humu

[emoji2][emoji2]
 
Wapi nimelia?
 
Back
Top Bottom