I am happily in love............
I am enjoying my marriage.........
I am expecting........................
Thanks god
thread closed
MAISHA YANASONGA!......
watu naona wameishiwa
Iwe ukumbusho kuwa, chochote unachoandika hapa JF kina/kitaishi milele hata kama ni personal matters.
POA HOMMIE!
unoge?
Geoff nilikuwa nimeanza kuchanganyikiwa ...maana naona sredi ya mwaka jana ,sisi tushakula pilau na kuserebuka
asante sana Binamu kwa kuyaondoa haya mashaka
ubarikiwe