Chrispin mueleze shemejio G siri ya mafanikio.Mwenzio anaenda to hell wakati wewe kiulaini on your way to heaven!
halafu kitu kingine?...(samahani wakuu naomba nichepuke kidogo tena)..!sasa semenya itakuwaje?maanake alisema anakuja.na hatujui kwa siku hiyo BUNDUKI GANI ITAKUWA INAFANYA KAZI?ili tumfanyie utaratibu wa bwana,au mrembo....!jaribu kum-piemu basiHahaha! Hope ziko kwenye hardcopy. Lazima ziwakilishwe physically. This time tukiwa na she's zetu. Sijui mpwa Fidel atakuja na wangapi? Hahaha! Leo maeneo ya kati TANESCO wameyatembelea, mpwa hayuko hewani!
...Nikubali mwanamke anipe stress kisa ndoa? kama jamaa alimshauri wakae chini wayazungumze akaishia kumtusi na kumbeza kuwa mnafiki...Mnategemea nini? Eti ndoa? eti mapenzi...you people!!!
kaka/dada tulia tulia, sie tumeshafanikisha mambo huku wewe endelea kubwabwaja tu, unadhani ni hawara huyu? mrembo ni wa ndoa halali ya church/mckiti, huo ushauri wako kawape wanaotaka ku change hawara upo hapo?
naam,kaka/dada tulia tulia, sie tumeshafanikisha mambo huku wewe endelea kubwabwaja tu, unadhani ni hawara huyu? mrembo ni wa ndoa halali ya church/mckiti, huo ushauri wako kawape wanaotaka ku change hawara upo hapo?
nakuaminia nyamayao.YOU ARE SO SMART
i think i know the semenya you guys are talking about, naona huku leo hajaja kuharibu huh.halafu kitu kingine?...(samahani wakuu naomba nichepuke kidogo tena)..!sasa semenya itakuwaje?maanake alisema anakuja.na hatujui kwa siku hiyo BUNDUKI GANI ITAKUWA INAFANYA KAZI?ili tumfanyie utaratibu wa bwana,au mrembo....!jaribu kum-piemu basi
pole sana kaka yote ni mapito tu
i think unahitaji sana kukae na mkeo atleast muongee
ukiona anazidi nenda kwa wazazi huku ukifanya uchunguzi ni kwa nini afanye hivyo, then jiangalie wewe mwenyewe ni wapi umefanya kosa
all the best brethren
God will make a way where seem to be no way
Pwa Crispin naona umesimama kidete kwenye maslahi ya ndoa ya dada yako, nimependa huu moyo wako hivi hauna hata ka cousin sister kengine ili yule anayeninyima access nimpige chini?
nyamayao,
it looks like you dn't know how much it means to be in love with someone YOU REALLY LOVE
halafu kitu kingine?...(samahani wakuu naomba nichepuke kidogo tena)..!sasa semenya itakuwaje?maanake alisema anakuja.na hatujui kwa siku hiyo BUNDUKI GANI ITAKUWA INAFANYA KAZI?ili tumfanyie utaratibu wa bwana,au mrembo....!jaribu kum-piemu basi
Dada N ujue tunatofautiana.Si unajua ukipenda sana unaweza ambiwa umewekewa limbwata? Isitoshe Geoff ndoa bado ni changa,hivyo mambo kama hayo akifanyiwa na Mpenzi roho inauma sana.
nimekupata mamaa!wat do u mean? naelewa sana ndio mana ishu kama hii cdhani kama inaweza niharibia uhusiano wangu ndio mana na wewe nakuambia ucjali hivi ni vijimambo tu na ni vya mpito kabisa, vickupe presha! mbona ni mambo ya kuyaweka sawa? kama ungekuwa umepitia misuko suko na kina sie mawifi/ma mkwe cjui mazagazaga gani ndio hapo, hiyo ishu ya kupishana maneno kwangu mie naona ni mambo ya kuweka ishu mezani na kusawazisha....cjui kama umenipata au?
SAMAHANI natoka off topic-mbona kila quote ya NYAMAYAO inatokea jina langu? mode rekebisheni.
nimekupata mamaa!
pamoja sana
back to work sister!naomba niendelee kufanya kazi za watu nadhani sasa umeshapoa moyo, ckupenda nikuone unataabika, ukiwa unaenda home jioni mnunulie mrembo kazawadi fulani hivi, chochote kile ka kumliwaza, PALILIA PENZI LAKO BABY BOY MREMBO HAKUFANYII VISA WALA NINI MREMBO ANADEKA COZ ANAJUA ANA WA KUMBEMBELEZA, SASA KWANINI ACDEKE?....
naona hili mpwa wangu linafanyiwa kazi!turudi kweje mada ya msingi mpwa!wewe umeoa kama mie na wengine wengi.....!KWANINI WAKE ZETU HUONYESHA MAKUCHA YAO HALISI WAKISHAWEKWA NDANI?
kweli watu wanakupenda Geof, sijui kwa kuwa ni mdau mkubwa wa hili jukwaa, maana within few hours thread imejump hiyo kama semenya mwenyewe. Na kwa maombi ya Chris, ZD, na baba mchungaji masanilo, hasira za bibie kule zimeshindwa na kulegea na mwishowe kaishia kupiga simu mwenyewe, sasa wewe kaka, silibia kwa kupitia red roses pale na chupa ya champagne au wine aipendayo, jkesho utaleta feedback ya mkuluvu utakaopewa leo.
haya ni mawazo yangu kama unaona hayakufahi huna haja ya kusoma, na yeye ndio mwamuzi wa mwisho. Sasa kama kalileta hapa kwa watu asio wajua atashindwa kuwaambia ndugu zake, mbona shemeji yake kamweleza. Unataka mpaka liharibike halafu ndio akaseme, ni bora ukawahi kuchukua hatua kuliko kusubiri likufike na nijuavyo ndio mwanzo wa kuvunjika ndoa kwa hivyo unavyoona ni vidogo. Maana lililomo moyoni kwa mwenzako hujui anawaza nini. Akili kumtwe mamawewe kijana hapa tunazungumzia ndoa sio u boyfrnd , hayo ya ukatili yametokea wapi? kipi cha ajabu alichofanyiwa G? hivi ni vijimambo vidogo vidogo sana vya ndoa kijana, na G bado hajafikia kuwashirikia hao wote unaowasemelea, amshirikishe Mungu wake.....