cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 498
brodaz n sistoz nasikitika kuwa nitapotea kwa muda hapa home!
kwa kuwa nawalove nimeona si vyema kutoweka tu bila kuwapatia taarifa!
nitakuwa ktk mazingira ambayo ambayo sitapata wasaa wa kuwa nanyi kama nilivyozoea,however something big is goin to hapen in my life,if God wishes my life is going to turn into another phase(sio ndoa),niombeeni Jehova aniepushe na mabalaa niweze kufanikiwa!
- - basi natumai nikirudi nitakuta nyumba kama nilivyoiacha msije kuharibu vitu wala kufanya utundu wowote.
kaizer na xpin geoff fidel na rayB hakikisheni kila siku mbuzi mnawapeleka machungani bila kubishana!
firstlady1 kazi yako utakuwa unatwanga kila siku watu wasije kukosa unga wa ugali.
bht na preta mtakuwa mnaosha vyombo na kwenda kisimani kuchota maji!
queenkami kazi yake kupiga deki kila siku.
maria roza atafagia uwanja na kwenda kutafuta kuni kila siku!
womanofsubstance nitamuachia pesa za emergency mtu akiumwa amuone wos ila mkichezea maji machafu mkapata gonorhea na kaswende na kisonono mjue mtakavyojitibu wenyewe!
braza anyosile obhel atahakikisha hamuendi kulala bila kusali!
braza malila kazi yake kwenda kule shambani kulima.
dianadoublediff namuachia kazi ya kuwapikia hadi nitakaporudi!
familia ni kubwa sana hii siwezi kuwataja wote majina ngoja nitumie e.t.c.
- - haya nikirudi sitaki kusikia kesi dada lenu cheusi nawapenda nyote,!
I LOVE YOU ALL!