Siku hizi mitandao na media zinakuaminisha kitu mpaka we mwenyewe unashangaa umeanza kukiamini, mfano mpaka leo mi sielewi Not Like Us umekuaje hit ya dunia (mpaka imefikia wakati nmemkuta wife mara kadhaa anachapa moves za hii ndoma akiwa peke yake) wakati uhalisia ni kwamba kuna baadhi ya diss za Drake zilikua kali kuliko hii.
Ni kweli lazima tukubali mziki haujasimama, ukiona playlist yangu unaweza ukashangaa sana, mimi si muumin wa mainstream labda ngoma iwe kali sanaSiku hizi mitandao na media zinakuaminisha kitu mpaka we mwenyewe unashangaa umeanza kukiamini, mfano mpaka leo mi sielewi Not Like Us umekuaje hit ya dunia (mpaka imefikia wakati nmemkuta wife mara kadhaa anachapa moves za hii ndoma akiwa peke yake) wakati uhalisia ni kwamba kuna baadhi ya diss za Drake zilikua kali kuliko hii.
Mimi nilikuws muumin mzuri sana wa J. Cole ila K anazidi kuniaminisha ana uwezo mkubwa zaidi, si kww ubaya 😀😀😀
View: https://youtu.be/GGTS9wFVE3Y?si=Uy2TatqAeHIyODKHFrom deep cover mpk leo niko na Anko Gunz n Smoke 🔥🔥🔥
Sina cha kuongeza sina cha kupunguza Kiongozi, God Bless You 🙏🏾You already know hip-hop changed the game,From the streets to the charts, it’s the voice of the culture, the heart of the people. The beats, the bars, the swag—hip-hop ain’t just music, it’s a movement. It built legends, shaped the style, and gave a voice to the unheard. Ain’t no genre doing it like hip-hop bro.....
West Side forever though mimi ni muumin wa East zaidi Snoop feat Daz Midnight Love 🔥🔥🔥
View: https://youtu.be/Qbs1IjqmnV0?si=21sl5A-bTVQr8fSi
Oooo Jesus ! Fuc,,,k off, that is great song 🎵 oooh
Ngoma kali kise,,,fuc,, off bi,,ch😁😁😁
Fvck you nigga 🖕🏿😹😹Ngoma kali kise,,,fuc,, off bi,,ch😁😁😁
Damn shortly you bad ,your dop as hell maa.Fvck you nigga 🖕🏿😹😹
Hili dude nalikubali sana.!! 🤣