min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Siku hizi mitandao na media zinakuaminisha kitu mpaka we mwenyewe unashangaa umeanza kukiamini, mfano mpaka leo mi sielewi Not Like Us umekuaje hit ya dunia (mpaka imefikia wakati nmemkuta wife mara kadhaa anachapa moves za hii ndoma akiwa peke yake) wakati uhalisia ni kwamba kuna baadhi ya diss za Drake zilikua kali kuliko hii.
View: https://youtu.be/l0U7SxXHkPY?si=4ptipo3VW6ar70UL. Jifunze kubadilika bro.