I'm in love with Mimi MarsMars

Sipendi umbea wa mitandaoni wala kujua maisha ya mastaa ila nilijikuta naanza kufuatilia kipindi cha Weekend Gossip TV 1 kwa ajili take.. Niliwahi kumpenda sana Mimi Mars ila baada ya kuona hamna jinsi nayoweza kumpata hua naenda supermarket nanunua sabuni ya Emperial kubwa ninabandua label yake naandika Mimi Mars.. Mpaka navyozungumza mda huu natembea nae kwa mwaka wa 2
 
Duh kwamba CHAPUTA au unamaanisha nini mkuu
 
Insta ukiwa DM huwa wanajibu mkuu,ingia na dau ila usianze 50,000 kudadadeki kama ww maskin au bahir sikushauri,na usimletee inshu ya sijui nakupendaga utaonekana jau so if your poket is big enough 5hen hata Wema nenda nae ,ni maoni yangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…