Snowpiercer
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 2,358
- 4,263
We endelea kula kwa macho tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh kwamba CHAPUTA au unamaanisha nini mkuuSipendi umbea wa mitandaoni wala kujua maisha ya mastaa ila nilijikuta naanza kufuatilia kipindi cha Weekend Gossip TV 1 kwa ajili take.. Niliwahi kumpenda sana Mimi Mars ila baada ya kuona hamna jinsi nayoweza kumpata hua naenda supermarket nanunua sabuni ya Emperial kubwa ninabandua label yake naandika Mimi Mars.. Mpaka navyozungumza mda huu natembea nae kwa mwaka wa 2