Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Mdomo ni kwa ajili ya kulia chakula,pia unasaidia kutoa na kuigiza hewa,sasa pale unapotumika kwenye maadalizi ya kuamsha hisia inakwaje?mfano kuswaki na uchimbaji madini.
Ina maana viungo husika havijitoshelezi?je kwa upande wa maswala ya kiroho(dini) hata kama mmeoana ni sawa?au ndo usodoma na gomora?
Ina maana viungo husika havijitoshelezi?je kwa upande wa maswala ya kiroho(dini) hata kama mmeoana ni sawa?au ndo usodoma na gomora?