I'm looking for matured Man to be my husband

I'm looking for matured Man to be my husband

Huu ni upimb ,ule bata weeeeee,uzeeke utusumbue tuache tule vyuku nasi japo kidogo.Sugarmumy

Sent using Jamii Forums mobile app
Just imagine binti yuko na heshima zake.Amezungukwa na wanaume wangapi toka enzi za ujana wake mpaka sasa mpaka ashindwe kupata mume?Haileti maana kabisa.Ukiangalia umri wake dah!Sawa hatukatai kuna kufiwa na sababu zingine.Lakini!kuna tatizo sehemu...jiongezeni.Najua wengi ni wagegedaji hapa hakuna mwowaji.Walioko mitaani kwenu,maofisini na kila sehemu ndio sisi tuko humu.Good luck

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari,Mimi ni mwanamke mwenye miaka 30.Ni mwajiriwa na Nina elimu kiasi.Ninajitokeza kutafuta mwenza katika jukwaa hili.
Ninayemuhitaji;
Awe mkristo
Awe matured Man mwenye kujitambua.
Awe muwazi
Awe na Nia ya dhati.
Karibuni Pm.
Mnatafuta Vigezo Hamtafuti mtu ndomana hampati wa kuwaoa...
Kumbukeni hakuna Mkamilifu...
Na uwezi pata mtu mwenye izo sif zote unazozitaka...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila la kheri dada, ila ukiweka mapicha na sifa za kutosha zaidi waweza pata kweli...
 
Back
Top Bottom