Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Asante!Nimejaribu kusoma reply zake kwa wadau.Nafikiri mto mada hana vigezo vya kuitwa mke wa matured man.
Ila anafaa kua mke...
Sent using Jamii Forums mobile app
well saidNimejaribu kusoma reply zake kwa wadau.Nafikiri mto mada hana vigezo vya kuitwa mke wa matured man.
Ila anafaa kua mke...
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari,Mimi ni mwanamke mwenye miaka 30.Ni mwajiriwa na Nina elimu kiasi.Ninajitokeza kutafuta mwenza katika jukwaa hili.
Ninayemuhitaji;
Awe mkristo
Awe matured Man mwenye kujitambua.
Awe muwazi
Awe na Nia ya dhati.
Karibuni Pm.
Just imagine binti yuko na heshima zake.Amezungukwa na wanaume wangapi toka enzi za ujana wake mpaka sasa mpaka ashindwe kupata mume?Haileti maana kabisa.Ukiangalia umri wake dah!Sawa hatukatai kuna kufiwa na sababu zingine.Lakini!kuna tatizo sehemu...jiongezeni.Najua wengi ni wagegedaji hapa hakuna mwowaji.Walioko mitaani kwenu,maofisini na kila sehemu ndio sisi tuko humu.Good luckHuu ni upimb ,ule bata weeeeee,uzeeke utusumbue tuache tule vyuku nasi japo kidogo.Sugarmumy
Sent using Jamii Forums mobile app
Unahangaika tu baada ya kupigwa chini na yule punguwani.
Wewe ndo size yangu, mimeshafika unasemaje.Kila la kheri dear....wakija wengi wengine nawaomba ila uwaambie me nna miaka 32
Mwambie bwana, kule siyo mchezo! Hata kulia tunaililia ikibidi. !!mdogo wangu wanaume huwa wana sehemu chache tu za kuwa matured either kwenye mavazi ama majukumu...
kule kwingine they remains immature until death...
Hauko serious, mbona hujaja PM?Acha abaki mtoto koote lakini nyanja muhimu awe matured!
dah, nimedinda ghafla hapakuvua nguo mbele ya mtu
Mnatafuta Vigezo Hamtafuti mtu ndomana hampati wa kuwaoa...Habari,Mimi ni mwanamke mwenye miaka 30.Ni mwajiriwa na Nina elimu kiasi.Ninajitokeza kutafuta mwenza katika jukwaa hili.
Ninayemuhitaji;
Awe mkristo
Awe matured Man mwenye kujitambua.
Awe muwazi
Awe na Nia ya dhati.
Karibuni Pm.
Una undugu na Khantwe?
Basi nshaelewa... kwanini umefanya hivyo lakini?