Traveller TM
Member
- May 6, 2024
- 45
- 77
Hello JF, I'm looking for someone in dar es Salam who is a Native english Speaker,
The purpose of looking for that person is learning
Anyone interested please check me
"Native English speaker" hao ndo wanaojua kiingereza tu? Nimeishi wingereza miaka 7 sijawahi kusikia native English man ana salmia mwenzie Goodmorning sir/madam wakati ndo kiingereza sahihi wote utawasikia wana salimiana 'hallo" au 'hi" lakini hapa bongo goodmorning sir and how are you ni nyingi kibao wakati sie sio native.Hello JF, I'm looking for someone in dar es Salam who is a Native english Speaker,
The purpose of looking for that person is learning
Anyone interested please check me
Grab the chance homieAll the best dear SIR/MADAM
This is Jamiiforums, most people here speak native English. Just message anyone via PM.Hello JF, I'm looking for someone in dar es Salam who is a Native english Speaker,
The purpose of looking for that person is learning
Anyone interested please check me
nimeandika nikafuta nikijaribu kukujibu kwa kingereza, siwezi mkuu.Grab the chance homie
Kwanini?nimeandika nikafuta nikijaribu kukujibu kwa kingereza, siwezi mkuu.
Lugha nzito hiyo nikiwa naongea mwenyewe inapanda sana ila mbele za watu mtiani.Kwanini?
Bora wewe umeelewa hadi ukajibu. Mie nimeelewa looking na Dar. Kwani ameona nini huko Dar?nimeandika nikafuta nikijaribu kukujibu kwa kingereza, siwezi mkuu.
My native language is swahiliHow come you're on Jf and you don't know how to speak native English? ๐ฅธ๐ฅธ
Punguza dipresheni kidogo utaelewa mamkwe.๐Bora wewe umeelewa hadi ukajibu. Mie nimeelewa looking na Dar. Kwani ameona nini huko Dar?
Umekosea articles and all grammatical errors , umewaza kiswahili ukaandika kiengereza.yaani umetafsiri Swahili to EnglishHello JF, I'm looking for someone in dar es Salam who is a Native english Speaker,
The purpose of looking for that person is learning
Anyone interested please check me
Hello JF, I'm looking for someone in dar es Salam who is a Native english Speaker,
The purpose of looking for that person is learning
Anyone interested please check me
NshajichanganyaDid you know that in Tanzania, English is a native language?
Mkwe na njanuari hii yaani dipresheni iko dipressed ๐Punguza dipresheni kidogo utaelewa mamkwe.๐