I'm new here

I'm new here

I'm new here tufahamiane jamani natanguliza shukrani mi ni ke[emoji1][emoji1]
Karibu sana miss kitongoji... tutajie taarafa, kata, mji/kijiji na mkoa unaotoka..! mimi napatikana jiji la bashite kitongoji cha daudi, kata ya zungusha mtaa unaitwa fa fafa fa fa karibu sana
 
I'm new here tufahamiane jamani natanguliza shukrani mi ni ke[emoji1][emoji1]
Naitwa Castr, nakupa jina la Mkuu usishangae mtu akikuita mkuu. Ila zingatia;
1. Usilete jukwaani mazungumzo uliyofanya na mtu pm.
2. Usitukane, kukashifu wala kumuita majina fyongo member mwenzio.
3. Usiandike kama upo fb.
4. Tukutane jukwaa la Love connect.
5. Nitumie picha yako pm.
 
Jamani naogopa mchumba akiona kasura humu atasitisha kandoa mana nae yupo humu humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
na nasubiri tu uweke ili nipate ushahidi mtimilifu kwanza nani kakwambia ujiunge..?
 
Back
Top Bottom