I'm new here

I'm new here

Naitwa Castr, nakupa jina la Mkuu usishangae mtu akikuita mkuu. Ila zingatia;
1. Usilete jukwaani mazungumzo uliyofanya na mtu pm.
2. Usitukane, kukashifu wala kumuita majina fyongo member mwenzio.
3. Usiandike kama upo fb.
4. Tukutane jukwaa la Love connect.
5. Nitumie picha yako pm.
Sawa mkuu kuandika kama fb ndo wanaandikaje
 
Karibu sana miss kitongoji... tutajie taarafa, kata, mji/kijiji na mkoa unaotoka..! mimi napatikana jiji la bashite kitongoji cha daudi, kata ya zungusha mtaa unaitwa fa fafa fa fa karibu sana
Hahaha mi pia nipo jiji la daudi bashite mbezi beach mkoa wa bashite aliepata zero yaani kazungusha
 
mmmh miss kitongoji wewe alaf kama nakufaham vile embu ni pm nijue vzr ni ww au laah
last nakukaribisha jukwaa la mahusiano ukifika uliza kamanda pweza utanipata
 
Back
Top Bottom