miss kitongoji
JF-Expert Member
- Feb 21, 2017
- 662
- 624
- Thread starter
- #21
Sawa mkuu kuandika kama fb ndo wanaandikajeNaitwa Castr, nakupa jina la Mkuu usishangae mtu akikuita mkuu. Ila zingatia;
1. Usilete jukwaani mazungumzo uliyofanya na mtu pm.
2. Usitukane, kukashifu wala kumuita majina fyongo member mwenzio.
3. Usiandike kama upo fb.
4. Tukutane jukwaa la Love connect.
5. Nitumie picha yako pm.