I'm new here

weka na karanga au korosho amabazo hazijaiva sana
Sawa mkuu. Mishumaa kadhaa kwenye korrridor la kuelekea bafuni, mziki wa taratibu, night dress yako nyekundu haitakupa joto tayari zipo zinakusubiri.
 
We miss kitongoji,Karibu sana Humu hatuna kitu kinaitwa mapenzi....Bora ukubali kugegedwa kuliko kupendwa.Moyo kazi yake moja tu,kusukuma damu.Ukipata Buzi hakikisha unadaka chako mapema,maana huu usawa kukopwa sunna.
 
I'm new here tufahamiane jamani natanguliza shukrani mi ni ke[emoji1][emoji1]
Karibu sana mi nimependa uandishi wako umejaa huba unyenyekevu *#MissKitongoji#* niite mtu mpole Koke16 wa Atletico Madrid [emoji85]
 
We miss kitongoji,Karibu sana Humu hatuna kitu kinaitwa mapenzi....Bora ukubali kugegedwa kuliko kupendwa.Moyo kazi yake moja tu,kusukuma damu.Ukipata Buzi hakikisha unadaka chako mapema,maana huu usawa kukopwa sunna.
Hahahahaha u made my evening nimecheka balaa

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…