"I'm not your friend my friend"

"I'm not your friend my friend"

Angalau anaelekea kujua akipata marekebisho kidogo atapiga hatua

Kwangu nimeona mafanikio zaidi ya kushindwa!
 
Hichi kingereza nimekutana nacho kwenye ofisi ya msomi mmoja, akimkaripia muajiriwa wake na vikingereza vya kuungaunga. I'm not your friend my friend,wasomi wa Tanzania buana!!
Shida iko wapi, hiyo friend ya pili imetumika ikimaanisha "wewe" kwa mtu aliyekasirika na haimaanishi urafiki wa uhusiano, hata kwenye kiswahili tunatumia neno "ndugu"! Je, unayemuita ndugu ni ndugu yako? Hapana, je, tunaungaunga? Hapana, nikikuita bro au sister haimaanishi uhusiano wa kifamilia.
 
Ukimaanisha wewe sio ndugu yangu ni sahihi kusema "mimi sio ndugu yako ndugu yangu"?
 
I am not your friend my friend

I am not your friend, my friend

My friend, I am not your friend
 
Back
Top Bottom