Kazana sasa kwa binti yule japo kakupita umri.Mimi tena ushawaii sikia mtanga anauzito?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nishamwambia akimbilie pm tufarijianeMajentromen wa humu ndani hebu fanyeni jambo, mtoto anautaka huyu....
Hamuoni anavomwaga chozi mbele yenu au dharau tu.
Atakua analia hadi kwikwi hadi nguvu za kuja pm hanaNishamwambia akimbilie DM tufarijiane
Hii ilishawahi kunikosesha bwana WA maana kabisaπ€£π€£Yaani sisi wengine hatujawahi, hatujui, hatuwazi, na hatutaki kubembelezaa mtu mzimaaa thus why mtongozo wangu ni mara Moja ukikubali poa ukikata ni kama king'amuzi sirudiii nyuma wala nn napita hivi na ukijileta utaenda simuliaa adi kitukuuu chako.... ππππ
Umri namba bhn viuong vya dhahabu vile havichagui umriKazana sasa kwa binti yule japo kakupita umri.
Mambo yakienda tofauti useme sasa nitafute wa Age ya juu zaidi.Umri namba bhn viuong vya dhahabu vile havichagui umri
Ilo limeisha kaka ila ata kuroga nitarogaMambo yakienda tofauti useme sasa nitafute wa Age ya juu zaidi.
I'm still hurting I can't do anything, my heart is hurting so much this was the man I love so much I never betrayed him but he behaved I wish I had the ability to reach him and tell him that I still love
Ni kweli mkuu unaweza kujikuta pabaya sana ukiendekeza hisiaNdo shida ya kuwa na expectation juu ya mwanadamu. expectation is the root of many heart attacks. Avoid becoming emotionally attached to anything, even your kids, because if they disappoint you, it could break your heart.
Aiseee duuh comment kama hii hatari kwa hisia za binti kama huyoππPambana!
Yeye Amadi we nani....??πππAiseee duuh comment kama hii hatari kwa hisia za binti kama huyoππ
Kiinglish na juzi ulieleza una degreeWe are fed up of us your nonsense....
Yamekukuta!I'm still hurting I can't do anything, my heart is hurting so much this was the man I love so much I never betrayed him but he behaved I wish I had the ability to reach him and tell him that I still love him
Typing error....Kiinglish na juzi ulieleza una degree
Kuna mdada mmoja hivi nilimuapproach mwezi wa sita akawa kama dilemma hivi kuja kumuuliza inakuaje ombi langu anasema lipi? Nikamkumbusha eti anasema ana mpenzi wake nikamwambia okee okeee eti kaja kunitumia text nimekumiss sanaaa nkamwambia "unaacha kummiss mpenzi wako huko unanimiss mm wa nn sasa basi pita kule"ππππππ π πHii ilishawahi kunikosesha bwana WA maana kabisaπ€£π€£
Mpaka nilijuta
Nilitaka nionekane mm sio mrahisi kumbe nimejiharibia
Baada y miezi miwili nilishtukiwa naungwa kwenye group la mchango WA ndoa....ππ
Dah...
Sometimes tukisemaga hapana sio kama tunamaanisha ...mliangalie hiliπ€£π€£
Nyavu baharini.Gentlemen,
There's a broken heart that needs to be mended.
Vijana wa jf mnafeli wapi kwani, hamuwezi kuruhusu hii roho izidi kuumia kwa kuwa tu kuna mjumbe mwenzetu kazingua.