Nyamwi255
JF-Expert Member
- Dec 2, 2022
- 4,848
- 12,776
M nahisi uniki flawa ndo switi candy na ndo huyu kyut Rey...mada zao ndo zile zile za ulalamishi🤣🤣🔥Yaan mtu kuolewa tu anasepa jf 😂😂😂 unique atakuwa kabadili 🆔 tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
M nahisi uniki flawa ndo switi candy na ndo huyu kyut Rey...mada zao ndo zile zile za ulalamishi🤣🤣🔥Yaan mtu kuolewa tu anasepa jf 😂😂😂 unique atakuwa kabadili 🆔 tu
Mi ukiniamdikia sms ya kizungu kigumu kama hiki nakuacha...…I'm still hurting I can't do anything, my heart is hurting so much this was the man I love so much I never betrayed him but he behaved I wish I had the ability to reach him and tell him that I still love him
Haina noma 😂😂😂Jf Kuna mambo mengi ya kukukera na kufurahisha...
Hata mm soon ntatoweka😅
Hali si hali
Au basi sitoweki🤣🤣Haina noma 😂😂😂
Hivi we si kuna uzi ulisema utaolewa next month 🤔🤔Hahahaha wallah Tena kanizidi🤣🤣
Yani hapoi Wala haboi...
Yaani sisi wengine hatujawahi, hatujui, hatuwazi, na hatutaki kubembelezaa mtu mzimaaa thus why mtongozo wangu ni mara Moja ukikubali poa ukikata ni kama king'amuzi sirudiii nyuma wala nn napita hivi na ukijileta utaenda simuliaa adi kitukuuu chako.... 😂😂😂😁Au basi sitoweki🤣🤣
ukiachwa achika kuendelea kushikilia nikujitaftia kufa tu hakuna namna mwanaume kama hakupendi hakupendi hata ufanyeje.I'm still hurting I can't do anything, my heart is hurting so much this was the man I love so much I never betrayed him but he behaved I wish I had the ability to reach him and tell him that I still love him
Kuna mdada mmoja hivi aliachwa bhn na walikuwa wanaishi kinyumba alikuwaga na mawazoo hadi mishipa ya fahamu ya uoni ikakatika kwa mujibu wa madaktari akawa kipofu lakini baada ya muda mfupi akafariki😭😭😭😏ukiachwa achika kuendelea kushikilia nikujitaftia kufa tu hakuna namna mwanaume kama hakupendi hakupendi hata ufanyeje.
Ndio napambania kombefanya kinachowezekana sasa
Mimi tena ushawaii sikia mtanga anauzito?Details nimekupatia WhatsApp , kazi kwako kijana ila make sure ukimkamata kiuno chake una m-rip her little spongebob limbs off hadi achanganyikiwe.
Ahah wewe unataka kufanya makao yako kumbeMambo mchanganyiko. Ukienda job tu kagongwa na jirani,hujakaa sawa kipitiwa na kijana wa majani ya ng'ombe. Bodaboda wanajua kwa kujipozea
Mambo mchanganyiko. Ukienda job tu kagongwa na jirani,hujakaa sawa kipitiwa na kijana wa majani ya ng'ombe. Bodaboda wanajua kwa kujipozea
It's okay kuumiaa jiruhusu uumie lia Sana time heals with time you will overcome the heartbreakI'm still hurting I can't do anything, my heart is hurting so much this was the man I love so much I never betrayed him but he behaved I wish I had the ability to reach him and tell him that I still love him
You experience the same situation like me. Just run to my DM tuliwazaneI'm still hurting I can't do anything, my heart is hurting so much this was the man I love so much I never betrayed him but he behaved I wish I had the ability to reach him and tell him that I still love him
Hivi we si kuna uzi ulisema utaolewa next month 🤔🤔
Ulishaleta mrejesho kwa familia ya Jf?
Au ndo mambo kimyakimya
Ndo shida ya kuwa na expectation juu ya mwanadamu. expectation is the root of many heart attacks. Avoid becoming emotionally attached to anything, even your kids, because if they disappoint you, it could break your heart.Kuna mdada mmoja hivi aliachwa bhn na walikuwa wanaishi kinyumba alikuwaga na mawazoo hadi mishipa ya fahamu ya uoni ikakatika kwa mujibu wa madaktari akawa kipofu lakini baada ya muda mfupi akafariki😭😭😭😏
Dear jeshini hakuna mapenziDuh! Alikuwa anakupatia mapesa mengi?
Tofauti na hapo kwanini unaumia kama vile biashara yako imefirisika🤔