Duh😀Najua! Lakini naona unajiendekeza na hayo maumivu
Unaumia kama vile unaunguliwa na nyumba..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh😀Najua! Lakini naona unajiendekeza na hayo maumivu
Unaumia kama vile unaunguliwa na nyumba..!
Hiyo mbaya😂😂Kuna mdada mmoja hivi nilimuapproach mwezi wa sita akawa kama dilemma hivi kuja kumuuliza inakuaje ombi langu anasema lipi? Nikamkumbusha eti anasema ana mpenzi wake nikamwambia okee okeee eti kaja kunitumia text nimekumiss sanaaa nkamwambia "unaacha kummiss mpenzi wako huko unanimiss mm wa nn sasa basi pita kule"😂😂😂😂😂😂 🏃 🏃
Kwani alikuambia ana degree ya arts in English? 😂😂😂😂Kiinglish na juzi ulieleza una degree
Kazi kwenu, inawezekana hii ilikuwa r.ship yale ya kwanza, maumivu yake hayaelezeki...muendelee kumkomaza binti.Nyavu baharini.
Si ndo hapo...😂😂Halafu hapo nimejitahidi sana inabidi anipe pongezi🤣Kwani alikuambia ana degree ya arts in English? 😂😂😂😂
anatafuta sympathhy tu, kama anataka mengine anaweza kuyapata nje hukoKazi kwenu, inawezekana hii ilikuwa r.ship yale ya kwanza, maumivu yake hayaelezeki...muendelee kumkomaza binti.
Sio rahisi mkuu, hasa kupata the right substitute.anatafuta sympathhy tu, kama anataka mengine anaweza kuyapata nje huko
Tayari mkuu nishamcheki mambo yapo bull bullNishamuelewa toka day one mkuu 😂😂😂 na wala sijazubaa nikamwambia mwamba wangu Fundi manyumba amchukue binti huyo ana maumivu 😂😂
Sasa mbona bado analeta nyuzi humu?Tayari mkuu nishamcheki mambo yapo bull bull
Afu cute aliniambia ananipenda usiku wa ile thread ake ya kwanza 😂😂Tayari mkuu nishamcheki mambo yapo bull bull
Kumbe uko lugha moja na mimi. Kama hamufanyi makao,atapitiwa na wangapi wapitaji?. Ndio hapo inakuja macute mambo mengi mchanganyiko.Ahah wewe unataka kufanya makao yako kumbe
Muhimu utamu mkuuKumbe uko lugha moja na mimi. Kama hamufanyi makao,atapitiwa na wangapi wapitaji?. Ndio hapo inakuja macute mambo mengi mchanganyiko.
Mr bean kipindi hicho daah
Nimejaribu kumwambia anasema awezi kuacha uzi gafula mkuuSasa mbona bado analeta nyuzi humu?
Vijana ebu fanyeni kazi sawa...achaneni na mapenzAfu cute aliniambia ananipenda usiku wa ile thread ake ya kwanza 😂😂
Kulazimisha mapenzi kwa mtu asiyekupenda ni tabia mbaya sana.I'm still hurting I can't do anything, my heart is hurting so much this was the man I love so much I never betrayed him but he behaved I wish I had the ability to reach him and tell him that I still love him