I'm still waiting for her message πŸ˜”

Misunderstanding yenu ilihusu nini, kuna issue 3 hapo, one of them is true, may be hutaki kuacknowledge tofauti yenu iliyojitokeza, au yeye ni wale watu ugomvi kidogo ananuna hadi mwaka, or hakupendi. Kama Misunderstanding ni kubwa address it accordingly, kama ni wale wa kununa cheki kama atakufaa in the long run, kama hakupendi baba sepa, mapenzi hayalazimishwi, if she doesn't love you, she won't. Halafu what is your plan kwake, kama unaona ni wife material basi don't ignore fact yoyote kati ya hizo tatu hapo juu, they mean life or death.
 
Pole sana mkuu

Jitahidi kunywa maji

Nawa mikono kwa maji tiririka

Jiepushe na mikusanyiko isiyo na Lazima

Pia usisahau kuvaa baraka
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yaani wewe ni kichaa ujue
 
I think there is a time coming all these will be your past experience.

You and I drank the poison from the same vine...[emoji444][emoji445][emoji443][emoji344]
 
DON'T ACTS LIKE A FOOL.AND STOP SIMPING(NICE GUY ATTITUDE) UYO MANZI KASHAKUONA WEWE MZAIFU YAAN ULIVYOANDIKA NI KAMA VILE ULIKUWA UNALIA ACHA UTOTO MKUU BE BUSY AND STOP CHASING WOMAN DON'T LIKE GUY WHO CHASE THEM (BECOZ IT SHOWS SOME INSECURITY INSIDE YOU)
 
tui laminate hii comment, tuweke kwenye notice board au kwenye yale mabango ya mtangazo kila mji, kila mkoa, kila kijiji na tuyaweke kwa herufi kubwa tukiyabold hata asioona mbali aone, hutoi hela unalia lia kizungu subiri uone picha linavyokwenda
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji1635]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…