I'm still waiting for her message 😔

Ukifikia hatua hiyo unahitaji macho ya rohoni kuitambua kweli na Mungu hachelewi kukujibu.

Ni wewe kuona na kuamua kuchagua kudanganywa au kuendelea na maisha mengine.
mimi yalinishinda nikaamua kukaa pembeni alivyorudi nikamfungia vioo mpaka kesho
 
mimi yalinishinda nikaamua kukaa pembeni alivyorudi nikamfungia vioo mpaka kesho

Hayo ndio maamuzi sahihi, ya nini malumbano? Muache aende kuna maisha mengine lazima yaendelee huwezi kuforce kumpenda asiyekupenda.

Huyo alichotarajia huko na alichokikuta tofauti ndiomana kajirudisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
nilimfungulia dunia akakutana na wana wa israel hawajui kubembeleza akapigwa matukio mpaka akaona ajirudishe, akakuta mwamba nipo ndani ya dunia nyingine.
 
Ni tamaa na ujuaji vinawaponza wengi, wanahisi uko kutakua kuna asali na maziwa…..kumbe hakuna lolote ni njaa na tabu
ni msoto mkali ila ndio hivyo bado watu wengi hupenda kukipa thamani kitu baada ya kukipoteza.
 
We are on same boat jombaa ila yangu mimi kaniambia ana jamaa ake so nilikuwa ndani ya mahusiano ya mtu 😀 so mimi nilikuwa spare tyre akikosana na jamaa ake me ndo mfariji yakiisha wanarudiana so chatting nini inakuwa. Amnaa tena mpaka akutafute yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…