I'm still waiting for her message 😔

I'm still waiting for her message 😔

Ukifikia hatua hiyo unahitaji macho ya rohoni kuitambua kweli na Mungu hachelewi kukujibu.

Ni wewe kuona na kuamua kuchagua kudanganywa au kuendelea na maisha mengine.
mimi yalinishinda nikaamua kukaa pembeni alivyorudi nikamfungia vioo mpaka kesho
 
mimi yalinishinda nikaamua kukaa pembeni alivyorudi nikamfungia vioo mpaka kesho

Hayo ndio maamuzi sahihi, ya nini malumbano? Muache aende kuna maisha mengine lazima yaendelee huwezi kuforce kumpenda asiyekupenda.

Huyo alichotarajia huko na alichokikuta tofauti ndiomana kajirudisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hayo ndio maamuzi sahihi, ya nini malumbano? Muache aende kuna maisha mengine lazima yaendelee huwezi kuforce kumpenda asiyekupenda.

Huyo alichotarajia huko na alichokikuta tofauti ndiomana kajirudisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
nilimfungulia dunia akakutana na wana wa israel hawajui kubembeleza akapigwa matukio mpaka akaona ajirudishe, akakuta mwamba nipo ndani ya dunia nyingine.
 
Ni tamaa na ujuaji vinawaponza wengi, wanahisi uko kutakua kuna asali na maziwa…..kumbe hakuna lolote ni njaa na tabu
ni msoto mkali ila ndio hivyo bado watu wengi hupenda kukipa thamani kitu baada ya kukipoteza.
 
Maybe bila yeye am just another lonely soul😔

I wonder au Niko na pretend kutotuma message mpaka aanze yeye and yet am dying inside.

I think I'm acting tough for something I shouldn't,

Iko hivi I met this beautiful girl, she is at her late 20's , yeah kipindi tunanza kila kitu ilikua ako sawa sometimes message mpk usiku wa manane twachati, sms call zilikua always.

All of the sudden akaanza kua busy , message zangu akaanza zipuuza and sometimes akanza jibu kwa kuchelewa

Since morning mpaka right now no even a good morning text? ( This should tell me something isn't it?)

Wonderfully enough she is always busy Kwa cm yani , always talking kwa cm and I pretend like it's normal but deep down inside of me najua hi kitu haiko sawa.

Recently tumekua na misunderstanding and since then she ignores me, what I pretend it's like I'm not being ignored 😔

She doesn't know much about my financial capability and I know she cheats she chats but not with me, on the other side she needs me

I'm tangled should I walk away?

Hakika nimeamini waweza kuwa around someone you truly love and yet feel so lonely 🥺
We are on same boat jombaa ila yangu mimi kaniambia ana jamaa ake so nilikuwa ndani ya mahusiano ya mtu 😀 so mimi nilikuwa spare tyre akikosana na jamaa ake me ndo mfariji yakiisha wanarudiana so chatting nini inakuwa. Amnaa tena mpaka akutafute yeye
 
Back
Top Bottom