Ondoka tu mzee, hayapogo namna hiyo! Au unataka kuanzisha aina mpya ya mapenzi?
I came late to this messages, but pals you were right all along.Mnaendekeza sana wanawake wanangu we have a lot of things to do mimi kuna demu mmoja alikuwa pisi kali hatari kila siku tunaongea normal call na videos calls akapotea hewani kama week bila sababu za msingi anarudi hewani ananiambia reason za kijinga sana nikampotezea mazima mpaka leo licha ya kuomba msamaha mwisho alisema naringa
Dear men we have a lot of things to do than fighting for love.
Chief, I did leave.Ondoka tu mzee, hayapogo namna hiyo! Au unataka kuanzisha aina mpya ya mapenzi?
Hivi hapa ulitaka kumfanyaje kijana wa watu?Una umri gani?
Hongeraa mkuuChief, I did leave.
Chief mimi nilikua mkomaaji kweli kweli espesheli kwenye sayansi(physics mostly)Jamaa anavyoonekana, yeye na mapenzi ni pete na kidole. Enzi zile watu tunahaso kujua ni kwanini x = -b Β± (4ac - bΒ² / 2b )Β½, jamaa lilikuwa busy kunjunjana. Yaani yale mashairi ya Adyeri kayakopi yote, hata uwasilishaji ni ule ule. Mola atuondolee balaa hili kabla ya uchaguzi mkuu 2025
Thanks a lot pal.Hongeraa mkuu
Hahha Amna bhana πHivi hapa ulitaka kumfanyaje kijana wa watu?
Upo, long time no talk, I read your funny story about the first love of yoursπHahha Amna bhana π
Actually it's x=-bΒ±(b^2-4ac)^2/2a πJamaa anavyoonekana, yeye na mapenzi ni pete na kidole. Enzi zile watu tunahaso kujua ni kwanini x = -b Β± (4ac - bΒ² / 2b )Β½, jamaa lilikuwa busy kunjunjana. Yaani yale mashairi ya Adyeri kayakopi yote, hata uwasilishaji ni ule ule. Mola atuondolee balaa hili kabla ya uchaguzi mkuu 2025
I guess it wasn't money at all, she had my bank card and all, nilikuja kujua badae sana kua alikua na mtu na walikua kwa relationship for almost 7 years πSend her money uone kama hajachangamka.
Alaf you will see yeye Ndio atakua Ana initiate conversation
PoleeI guess it wasn't money at all, she had my bank card and all, nilikuja kujua badae sana kua alikua na mtu na walikua kwa relationship for almost 7 years π
So pesa zangu alikua anakula na jamaa yake πππ dah I was stupid.
Thanks comrade, I moved on and I'm doing OK.Polee
Forget her and move on