Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Nimekaona, na maua yangu mnipeMpatanishi pokea zako shukrani hapo juu umeandikiwa ka uzi ndani ya uzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekaona, na maua yangu mnipeMpatanishi pokea zako shukrani hapo juu umeandikiwa ka uzi ndani ya uzi
Una umri gani?
Labda asiwe na damu ya kiafrika ile mambo kwao ni km uhai๐๐๐๐
Bw. harusi ye hana baya mbona, as long as anajibiwa msg za kinglesaa chiu kwake sio kipaombele
๐๐๐sasa udugu wetu kawa zoba plusMapenzi haya mbinu, zaidi ya mmoja wapo kuwa zoba... ndio yataenda
Achana nae nije kuikandaaa miguuu hiyooo ๐ฌ๐ฌ๐ฌ
Nafasi ya mbele nyuma ya dereva, niko dirishani ntakua nakuita aiseee๐๐Unaona kinglesa tena cha kubold hapo juu, jamaa hapindui kwa demu atateseka sana wafariji tupo
That's the real talk right there, I've busiest schedule buddy nmekua afraid kumpoteza because I'll not even have a time to look for another.Unavyoandika tu unaonekana uko needy ata kwa mtu asiyekufahamu. If you'll come out needy ata kama una good intentions women will ignore you. Wewe hauko busy? Stop making a woman a focus of your life. Get busy. Meet new people.
I'm waiting for it๐ฅ๐๐๐๐
Nlikua nshaandaa good night paragraph ni kulishusha tuu
๐๐๐๐๐ Navuta kiti nasubiri huku napata ๐น๐น๐๐๐sasa udugu wetu kawa zoba plus
Akipewa chiu si tutampoteza jins atakavyojaza servers๐๐๐
Tulia bas tumalizie swala moja
Yakiharibika atuite tu, tumejitolea kumfariji kijana wetuNafasi ya mbele nyuma ya dereva, niko dirishani ntakua nakuita aiseee๐๐
I like my Tanzanian people ๐Mwamba FlyingDutchman kashajinyakulia zake chombo mitaa hii, kilichobaki ni kumalizia malizia thread sasa ๐
Weka na cocktail yangu moja hapo nakuja๐๐๐๐๐ Navuta kiti nasubiri huku napata ๐น๐น
Nasubiri hapa ipo pamoja na ๐๐Weka na cocktail yangu moja hapo nakuja
We andika kiswahili chetu tu๐๐ hata mi sielewi babe wapo cool sasa paragraph yako ya nini tena?Kapeace
Mbona Bw. Harusi simuelewi๐๐๐
Si wameshayaeka sawa
Na bado anataka paragraph
Is me is not understanding of course, is you understanding?
Nsamehe ndugu yangu๐๐๐nlkua najaribu mitamboWe andika kiswahili chetu tu๐๐ hata mi sielewi babe wapo cool sasa paragraph yako ya nini tena?
Itunze tu hiyo paragraph itatufaa kwa badae sababu wifi atarudia tu ubabe wakeNsamehe ndugu yangu๐๐๐nlkua najaribu mitambo
Bw Harusi anataka good night paragraph
Si tulkubaliana ntatuma kama wifi akiendelea na ubabe๐๐๐๐
๐๐๐๐Itunze tu hiyo paragraph itatufaa kwa badae sababu wifi atarudia tu ubabe wake