i'm suffering from this psychollogical problem.

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
habari wanajamvi.... nawaomba wataalamu wa saikolojia wanisaidie katika hili.
mwaka 2011 nilifukuzwa shule nikiwa kidato cha sita(mwakaleli sec school) kutokana na migomo iliyotokea kwa wakati ule. sio siri nilichanganyikiwa sana kama wazazi wangu wasingenifariji basi nilikuwa naelekea pabaya zaidi ya hapa nilipo. nilipata nafasi ya kuendelea na masomo tegeta high school lakini sikuwa na tumaini la kufanya mtihani mwaka feb 2012. na ni kweli nilishindwa kwa sababu nilikuwa nimeshasajiliwa kule nilikofukuzwa. nilikosa matumaini na nikaanza kuileta chuki na hali kutojali kuitawala nafsi yangu. pia nilipoteza imani na watu baada ya kuona wengi niliowategemea wakiwa mbali na mimi haswa aliyekuwa mpenzi wangu. roho ya chuki nilidumu nayo kwa miaka .... ila kwa sasa nimegundua kuwa ile chuki, kutotumaini, kutojali na kutoamini watu kumeibeba furaha yangu japo matokeo yangu ya kidato cha sita sio mabaya sana. katika masaa ishirini na nne nakosa furaha kwa masaa mengi kutokana na mawazo ambayo nimeyarundika akilini inafika kipindi hadi kichwa kinauma. nahisi nipo katika dunia ya peke yangu japo kuna watu wako karibu yangu siwaamini tena.. nawaomba mnisaidie jinsi ya kutokana na hali hii inayonitesa.
natanguliza shukrani
 
Furaha ya kweli utaipata ndani ya Yesu! Ingia rahani mwake. Hiyo signature yako inaweza kukusababisha ukate tamaa...tunda la Roho ni uvumilivu...waswahili wanasema "SUBIRA YAVUTA HERI"
 
Back
Top Bottom