maharage ya ukweni
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 1,493
- 3,382
- Thread starter
-
- #61
Swali lako la pili ukiona unashindwa na majini ya asili wewe sio chosen one,kuna watu wanafanya mambo kwa matamanio ya nafsi zao kwakuona au kutafuta njia rahisi ya kupata pesa.Kwanza kama mungu amekukadiria na kukupa karama unaweza kutibu watu bila ya kuwa na elimu kubwa kwani Mungu kuna kiungo katika mwili wako anakipa nguvu ya kuharibu uchawi.Kuna wengine nguvu ipo kwenye kidole na mwingine katikati ya kiganja cha mkono.Mtu wa aina hii anaweza kutibu au kuharibu uchawi kwa kusoma surat FATHA NA AYAT KURSIY PEKEE bila kusoma dua ndefu mpaka mgonjwa anachoka kusomewa.Habari maharage ya ukweni
Nina maswali hapa.
1. Unajua elimu ya upande wa nuru..?
Kama ndio, Ni elimu Gani?, na ni yapi masharti yake.
2. Je tiba asili za kutibu kwa kutumia njia za jadi na majini wa asili Zina usahihi.?
3. Una ruhusa ya kuyaeleza haya unayoeleza ?
Haya bwana ila sisi tunajua unajua nani anabeba.Kiongozi mimi siamui nione nini ila anayenionyesha au wanaonionyesha wanaamua wao yaani naambiwa "ANGALIA KULE"
au "HAPA UKO MBEYA" HALAFU KINACHOFUATIA NI KUONA BASI.
Mbeya nilipitishwa mashambani na kuona misukule inalimishwa,ile MISUKULE IKAWA INANIOMBA NIISAIDIE LAKINI sikuweza kuisaidia coz walionipeleka safari hawakuruhusu nifanye chochote yaani unapelekwa sehemu bila ya wewe kujua.
NB;MIMI SIAMUI WALA KUPANGA NIONE NINI.
Mfano MADURO WA VENEZUELA NILIONA ANAKAMTWA SIKU 7 KABLA SASA SWALA KAMA HUWEZI ETI UKAKAA ETI UONE
Nilikuwa napambana kwenye vita kubwa sana,wachawi washenzi sana yaani wamehangaika mda mrefu kunifunga ili wakija nyumbani kwangu wafanye wanavyotaka.Huwezi kuamini katika kipindi hiki cha ukimya wangu hapa jukwaani wamenichukua mpaka NYWELE ili wanifunge lakini imeshindikana.Mungu akikupa KARAMA hautoondoka duniani mpaka uifanyie kazi KARAMA yako.Safari nimekuja si kwa maono peke yake bali kutoa baadhi ya ushuhuda ili watu wengine ambao bado hawajajitambua kama wana kusudio maalum waanze kuzinduka.Haya bwana ila sisi tunajua unajua nani anabeba.
Anyway, tangu mwaka jana sijakuona humu.
Karibu tena.
Mungu akinipa maono ntawafahamisha coz maono siyapati kwa utashi wangu,lakini kwakuwa kwasasa nimeanza rasmi safari ya kuishi katika kusudio langu hapa duniani as chosen one maono yatakuwa ya mara kwa mara.Vita niliyokuwa napambana na wachawi nimeshinda so In Shaa Allah ntakuwa nawajuza,ASIKWAMBIE MTU WACHAWI NI WASHENZI SANA HASA UKIWA NA UWEZO WA KUWAONA NA KUPAMBANA NAOMtoa mada unauonaje mwelekeo wa nchi yetu kuelekea 2030 na zaidi baada ya kupitia misukosuko October-Nov 2025