Ze burner JF-Expert Member Joined Jan 5, 2011 Posts 514 Reaction score 83 Aug 9, 2018 #1 Ni mwenye akili timamu ila najiuliza, mwanadamu huyu anawezaje kuflash choo kwa maji wakati yeye mwenyewe anaondoka bila kutawadha na akijaribu Sana anajifuta kwa tishu! Hii nii akili matope?
Ni mwenye akili timamu ila najiuliza, mwanadamu huyu anawezaje kuflash choo kwa maji wakati yeye mwenyewe anaondoka bila kutawadha na akijaribu Sana anajifuta kwa tishu! Hii nii akili matope?
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 Aug 10, 2018 #2 unaona hiyo ni akili au tope??
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 29,028 Reaction score 69,666 Aug 12, 2018 #3 mbona sio ajabu
sixlove JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 563 Reaction score 393 Aug 13, 2018 #4 AKILI ILIYO KWENYE TOPE