Imad Mughniey: Kamanda wa Hezbollah aliyeuliwa akitoka kwa mchepuko

Na ukitoa mpya naomba unitag please.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Ila nimegundua hezibollah ndani kuna wanafiki wengi wanawachoma kwa Mossad sana.
Usiseme hezibollah... Sema hadi kwenye kwenye inner circle ya ulinzi wa ayatollah u unakuta Kuna pandikizi la Mossad na anakunja pesa ndefu vibaya sana.....
 
Wadau stori kama hizi nahitaji maoni, ushauri,mapendekezo n.k ili kuboresha.. itanisaidia sana ili kila mmoja abirudike kwa Namna ya kipekee...😎😎
 
Usiseme hezibollah... Sema hadi kwenye kwenye inner circle ya ulinzi wa ayatollah u unakuta Kuna pandikizi la Mossad na anakunja pesa ndefu vibaya sana.....
Ni kweli usemacho,Unafiki haushi aisee.
 
Ni kweli usemacho,Unafiki haushi aisee.
Ndio ujasusi ulivyo mzee😆😆 hiyo kazi bila Unafiki unafiki hutoboi.. mpaka kwenye ofisi ya Rais ikulu unakuta Kuna pandikizi.. pitia kisa cha Ashraf Marwan pale misri .. nimewahi kileta humu
 

Meir Dagan alikuwa Mkurugenzi wa Mossad kipindi hicho.
Mwaka 2008 waziri mkuu alikuwa Ehud Olmert kabla ya Netanyahu hajarudi tena 2009
 
Meir Dagan alikuwa Mkurugenzi wa Mossad kipindi hicho.
Mwaka 2008 waziri mkuu alikuwa Ehud Olmert kabla ya Netanyahu hajarudi tena 2009
Thanks kwa correction 🙏🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…