Kwani kuna nini?
Kamati za Bunge la Katiba leo zimecharuka na hata Sendeka kajiumaumaKwa hisani ya @Dingswayohiyo ndiyo saini HALISI nahisi inapatikana kwenye Noti za zamani pia
km Kiongozi mkubwa wa Serukali na DINI akipayuka hivyo ujue kabanwa na ukweli anaujuaHaya na mm nawauliza kuna MUNGU nani kamuona MUNGU wote kimya (nikamkumbuka @Kiranga) ni nani kakutana na MUNGU? Mikataba yote ipo UN
Sawa hata km jamaa alikuwa mchomaji (RIP JK) lkn hata Msekwa Pius karani wake wakati huo asizijue na tatizo la Paper zenyewe ni za kileo A4 sio zile za 47 fullscapeZote zake hizo, ikitegemea na mood na kama alisha choma au bado.
narudi na You TubeITV
about an hour ago
Hoja ya hati za kuridhia mkataba wa muungano imeibua mvutano mkali katika kamati za bunge maalum la katiba kuhusu uhalali wa hati hizo kutokana na madai kuwa zimeghushiwa huku aliyekuwa katibu wa bunge la Tanganyika Pius Msekwa akidaiwa kutoa maelezo yasiyo ya kweli mbele ya kamati na mwanasheria mkuu wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar akisema kuwa hajawahi kuziona hati hizo kwa macho isipokuwa kwa maelezo.
Kwenye hati ya muungano ilio ineshwa kwenye rasimu ime fojiwa...
Cha kujiuliza kulikoni ?
SAahihi ya Nyerere iwekwe kwenye katiba Mpya kama kumbu kumbu
Zote zake hizo, ikitegemea na mood na kama alisha choma au bado.
yule muimba taarabu wa jeshi aka jk aka rais kikwete ndiye kawaambia wagushi hizo sahihi! ndiyo maana siku ile mishipa ilimtoka akisema kama wanataka serikali tau asubiri atoke madarakani!!
Nikisema humu muungano feki mlikuwa hamnielewi, saa hizi mnahaha, tukiwaambia yule mzee alikuwa majanga hamtuelewi, kaiuwa Tanganyika sasa mnaitafuta kwa udi na uvumba.
Jifunzeni kutoka kwa Wazanzibari, hususan muwatetee wale uamsho, sasa ndio mtawaelewa uamsho walikuwa wanapigania nini.