Not_Yet_Uhuru
JF-Expert Member
- Oct 11, 2010
- 1,304
- 432
Inasikitisha kuona tunajadili upuuzi... sahh zinabadilika kutegemea na nyakati pamoja na mikao.
Ukiandika umekaa itatua tofaut na ya kusimama.
Sahih ya mwaka jana kuna uwezekano isiwe sawa na ya mwaka huu.
Huo mkasa umenikuta bank ya exim juzi bank teller anazngua kunipa hela kisa sahihi zimetofautiana.
Mkono si sawa na photocopy machine kiasi kwamba utende sawa kila wakati.
Msiwe mnajitoa ufahamu kutetea ujinga usiokuwa na mashiko wala tija kwa taifa.
Nyie ndo mnachangia hii nchi ionekane imejaza wapumbavu na wajinga lundo.
A cha ujinga...mwizi ni mwizi tu na zikitimia 40 atajitetea kwa lolote ila jibu linabakia kuwa anastahili hukumu inayostahili..siyo kukaa, siyo cha exim au lolote...feki ni feki na kufoji haisimami muda...ukweli utakuja punde nawe utajificha USO...ccm ni majitu maovu hata kwa wazao na wajukuu wao wenyewe sembuse kwa RAIA wa kawaida wanaodai haki yao na Tanganyika yao..
The days are numbered for ccm to sustain the coming 'magnitude'...they would better confess and seek the public sympathy rather than their arrogance and selfish and idiotic mindset.