gogo la shamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 6,669
- 2,165
hizo ni sahihi mbili tofauti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zote zake hizo, ikitegemea na mood na kama alisha choma au bado.
Sasa kipofu unayemtuhumu ataonaje?yaani wewe ni kipofu?huoni ka sahihi moja imeigizwa?
Hii ni sahihi yake ya mwaka 1973.
Ipi ni saini yake ya kweli ???![]()
Hata wewe mleta uzi, ukichunguza vizuri sahihi zako utakuta zina slight difference, sahihi sio nakala ( Copy) kiasi cha kulazimisha kuwa zipo sawa kila kitu. Hata ukichukua sahihi za Mwl kwenye masuala mbalimbali ambayo hayatiliwi shaka ukichunguza unaweza kukuta slight diffrence kama hizo. Cha msingi cha kujadili ni hizo Contents za mkataba wenyewe badala ya kuleta ubishi kwa mambo ambayo ku prove itachukua muda kama vile ubishi wa kikanuni kwenye bunge.
Mkuu kweli wewe huoni, herufi K. Ni printed sio handwriting ya Julius. Zote ni fake. Werema na masoud walete hati halisi ya muungano sbb wao ndo wanazitunza.
Zote zake hizo, ikitegemea na mood na kama alisha choma au bado.
ukichukua karamu na karatasi kisha uweke saini 20,lazima zitatofautiana kwa kiasi flani. Its human nature. Tujadili contents na si mambo madogo kama hayo
Nadhani tatizo linalokuja ni kuwa bila ya kuwapo kwa hati halisi, inakuwa ngumu kuamua kama contents za hizo nakala zinazotiliwa shaka kama zipo sawa.ukichukua karamu na karatasi kisha uweke saini 20,lazima zitatofautiana kwa kiasi flani. Its human nature. Tujadili contents na si mambo madogo kama hayo
Weka original