Image ya saini ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

Image ya saini ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,750
saini-564x272.jpg
Ipi ni saini yake ya kweli ???
 
Kwenye hati ya muungano ilio ineshwa kwenye rasimu ime fojiwa...
Cha kujiuliza kulikoni ?
 
Magumashi yanaendelea, ka nchi ka watu wenye mipango yao. Msifukunyue sana jamani wenyewe wakichukia.... mtakiona cha mtemakuni!
 
Hoja ni nini hapa au unataka kupata au kujua nii hasa we mleta mada.
 
saini-564x272.jpg
Ipi ni saini yake ya kweli ???

Hivi nini maana ya sahihi? Mimi nikiangalia naona ni majina mawili, la kwanza na la mwisho lile la katikati kaliandika kwa ufupi yaani kwa kutumia herufi ya kwanza ya jina Kambarage hivyo ukiangalia inasomeka "Julius K. Nyerere" Sasa majina hayo ndiyo sahihi? Kwakuwa tarehe za kuandikwa ni tofauti huenda tofauti ndogo zisikosekane. Katika hilo mimi nafikiri la muhimu ni kuangalia content kama ni valid badala ya kudeal na sahihi tu
 
Mkuu kweli wewe huoni, herufi K. Ni printed sio handwriting ya Julius. Zote ni fake. Werema na masoud walete hati halisi ya muungano sbb wao ndo wanazitunza.
 
Hahahahaaa kutoka posho,wazi&siri, tatu na mbili mpaka saini filamu hii nzuri sana
 
mmmh!nlitaka kupamban na mleta mda,lkn baada ya kuendelea kusoma nkaanza kuelewa.nadhan kuna kitu mleta mada anakifahamu kinachohusisha kufojiwa kwa sahihi na "father of the nation" mleta mada embu tuweke wazi
 
mmmh!nlitaka kupambana na mleta maada,lkn baada ya kuendelea kusoma nkaanza kuelewa.nadhan kuna kitu mleta mada anakifahamu kinachohusisha kufojiwa kwa sahihi na "father of the nation" mleta mada embu tuweke wazi
 
Hivi nini maana ya sahihi? Mimi nikiangalia naona ni majina mawili, la kwanza na la mwisho lile la katikati kaliandika kwa ufupi yaani kwa kutumia herufi ya kwanza ya jina Kambarage hivyo ukiangalia inasomeka "Julius K. Nyerere" Sasa majina hayo ndiyo sahihi? Kwakuwa tarehe za kuandikwa ni tofauti huenda tofauti ndogo zisikosekane. Kat

ika hilo mimi nafikiri la muhimu ni kuangalia content kama ni valid badala ya kudeal na sahihi tu

yaani wewe ni kipofu?huoni ka sahihi moja imeigizwa?
 
Back
Top Bottom