Image ya saini ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

Image ya saini ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

CCM kwa kughushi hamjambo hata sahihii ya marehemu, vijana wakighushi vyete feki wapate ajira nyie mwalalalama
 
Jeshi la polisi linasubiri nini kuchunguza na kuwatia mbaroni wote waliohusika na kughushi saini ya Mwalimu na Msekwa?
 
Jeshi la polisi linasubiri nini kuchunguza na kuwatia mbaroni wote waliohusika na kughushi saini ya Mwalimu na Msekwa?

Inashangaza kusikia kutoka kwa Mwenyekiti wa Bunge la katiba (soma Mwananchi ya leo tarehe 4 April) kuwa waliofanya hivyo ni wafanyakazi wa ofisi ya AG. Kama ni kweli, tunao watu makini?
 
Samweli Sitta: "...Ni vijana wa AG Chambers. Wameongeza kidogo maandishi kwenye sahihi ya Nyerere."
Werema: "Mi hiyo sijui"....
Msekwa ".....?!".
 
Asiye na maana haambiwi maana, hiyo ilikuwa ni ahadi ya kampeni ya Kikwete na akaitimiza immediately alipopata Urais tu.

We bibi huyo kikwete wako hakuna alichofanya,zaidi ya kuridhi miradi ya Mkapa upo hapo?
 
Hivi huyo ni nani mwenye udhubutu wa kugushi sahihi za Nyerere na Msekwa,na ni kwa dhamira gani?.
Hiyo hati ya sheria namba 22 iliyosainiwa 25th April 1964 ni ya muhimu sana na vyovyote iwavyo haipashwi kuchezewachezewa kirahisi namna hiyo na wahusika wasiwajibishwe.
Je tutaaminije kama maudhui ya hati hiyo ya sheria hayajagushiwa.

Jeshi la polisi linasubiri nini kuchunguza na kuwatia mbaroni wote waliohusika na kughushi saini ya Mwalimu na Msekwa?
Mkuu hii nchi bado sana. Shahidi wa kwanza anatakiwa awe Mzee Msekwa na yeye keshakiri kuwa sahihi ni ya kwake.
 
Msekwa yuko hai, si aulizwe, au mnangoja mpaka afe?
 
Hoja ni nini hapa au unataka kupata au kujua nii hasa we mleta mada.

hoja yake bado hujaona tu unaishi nchi gani au wewe si mtanzania je habari ya saini ya nyerere kufojiwa hujaipata?
 
Back
Top Bottom