Imagination - My Encounter with Super Lady in JF

Imagination - My Encounter with Super Lady in JF

Superman,
You might wish to expand the list to include the following:
Felister, Haika, Nyamayao, MwanajamiiOne, Bibi kizee.............
 
Muulize NN, ila ni one of those we call Iron ladies so inabidi uwe kwenye A game yako ili kuweza kuwa naye sambamba.

Mwambie huyo....akileta mambo yake ya yuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu......atatoselewa mbali
 
Wakuu, naona Maada inatekwa nyara, naomba turudi katika mstari.

Je kuna Candidate mwingine wa Ziada?

So far wachangiaji wengi wanaona Super Lady wa JF ni ama "Woman of Substance" aka WoS ama "Mwafrika wa Kike" aka MWK.

Kama tunakubaliana, sasa tuingie awamu ya pili ya kuwapambanisha hawa wawili kwa kuangalia vigezo vyetu vilivyowekwa katika mada kuu.
 
Mimi napendekeza pia Nyamayao afanyiwe analysis...hopefully ni mwanamke...
 
Mkuu take note please
 
Superman,
You might wish to expand the list to include the following:
Felister, Haika, Nyamayao, MwanajamiiOne, Bibi kizee.............

And the Winner is . . . .

🙂 Well ngoja tuimalizie kwanza . . . . I will post their threads shortly.
 
Felista . . . . Hana Thread hata moja
 
Katika Majina yaliyokuwa Nominated, who should be shortlisted for the Finals?
 
Mwafrika wa Kike,Mama,WOS na Kelly01
 
Ok Wakuu wote;

Nominations imeshafanywa. Sasa katika majina yafuatayo yaliyokuwa nominated, naomba tuyapigie kura kupata majina matatu tutakayoyapambanisha katika Thread ya Nani Zaidi? Kabla ya kuchagua unaweza kijiridhisha kwa kuona michango yao katika Threads walizo zianzisha.

Nominated Candidates ni:

  1. Mwafrika Wa Kike
  2. Woman of Substance
  3. Penny
  4. Bellinda Jacob
  5. Mama
  6. Kisura
  7. Bi Mkubwa
  8. Kelly
  9. Mama Mdogo
  10. Haika
  11. Nyamayao
  12. MwanajamiiOne
  13. Bibi Kizee

Chagua Watatu katika Hao.
 
Back
Top Bottom