WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 963
acha ku hate hata mambo madogo kama haya...Wabongo kwa kuvishana vilemba vya ukoka na nishani hewa hatujambo. Ila tuendee hivihivi kujifariji samtaim sio mbaya sana.
yuko single?
yuko single?
Muulize NN, ila ni one of those we call Iron ladies so inabidi uwe kwenye A game yako ili kuweza kuwa naye sambamba.
acha ku hate hata mambo madogo kama haya...
Wakuu, naona Maada inatekwa nyara, naomba turudi katika mstari.
Je kuna Candidate mwingine wa Ziada?
So far wachangiaji wengi wanaona Super Lady wa JF ni ama "Woman of Substance" aka WoS ama "Mwafrika wa Kike" aka MWK.
Kama tunakubaliana, sasa tuingie awamu ya pili ya kuwapambanisha hawa wawili kwa kuangalia vigezo vyetu vilivyowekwa katika mada kuu.
Mimi napendekeza pia Nyamayao afanyiwe analysis...hopefully ni mwanamke...
Superman,
You might wish to expand the list to include the following:
Felister, Haika, Nyamayao, MwanajamiiOne, Bibi kizee.............
- Tetesi: Eti taifa stars walishindwa kuifunga zimbabwe kwasababu ya rangi za jezi zao!
- afraid of something?
- ushauri kwa mwanafunzi
- Kwa wanaojali afya ya ngozi tu.
- selebriti bungeni
- Nimekubali Ndoa Ni Ngumu Kwa Wote, Japo Ni Raha Pia, Unasemaje?
- msaada tutani
- You Are As Old As Your Oldest Organ
- Naomba Ushauri-mavazi
- Tanzania's coast line
- All About Feeling Good!!
- Adhabu Au Viboko?
- viapo kwa biblia na misahafu ifutwe?
- Msemo ninaouchukia
- Strange English Vocabulary
- vibweka vya wakubwa
- Watanzania Wanaongea Sana Kuliko Wakenya Na Waganda?
- dafatari la wapiga kura laibiwa
- Haki Inadaiwa Bila Kujua Wajibu?
- House Cleaning
- Dodoma, Makao Makuu
- Good Breakfast
- Viwanda Tanzania
- Tisheti
- JK ana watoto wangapi?
- Nani Anasubiriwa?
- Kiongozi Wa Juu Wajiuzulu Kwa Ufisadi Pia?
- Waziri Mkubwa
- Hatimaye apata mnunuzi wa Bikra yake...
- China products should be banned!
- Falling in and out of love... Is it a human nature or culture?
- Nyumba ndogo........
- Is it true....?
- The Remainder...
- Responsibilities ndani ya ndoa
- Maamuma's Thread:Inakuwaje ikiwa....
- Unapokuwa kwenye situation ya namna hii... unafanyaje?
- Hivi Wanawake tukoje?.......
- Utajuaje anakutumia....?
- Open Marriages...
- Ingekuwa wewe...
- Forgiveness..?
- How far should we go?
- Tendo la ndoa nadra: Unyanyasaji wa Kike..?
- Hakimu Kesi ya Liyumba ajitoa!
- Is it true jamani...........?
- Ndoa zenye Utata..
- Is it true?.... Please enlighten me!
Katika Majina yaliyokuwa Nominated, who should be shortlisted for the Finals?
- Mwafrika Wa Kike
- Woman of Substance
- Penny
- Bellinda Jacob
- Mama
- Kisura
- Bi Mkubwa
- Kelly
- Mama Mdogo
- Haika
- Nyamayao
- MwanajamiiOne
- Bibi Kizee