Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 96
Ok Wakuu wote;
Nominations imeshafanywa. Sasa katika majina yafuatayo yaliyokuwa nominated, naomba tuyapigie kura kupata majina matatu tutakayoyapambanisha katika Thread ya Nani Zaidi? Kabla ya kuchagua unaweza kijiridhisha kwa kuona michango yao katika Threads walizo zianzisha.
Nominated Candidates ni:
Chagua Watatu katika Hao.
This is utterly chauvinistic....
Mkuu Nyani Ngabu mbona unaandika bombastic hivyo??? Nilainishie mazeee.
Aaaah unanisingia bana...mimi mwandika pumba siwezi kuwa bombastic kama unavyodai
Nominee mwingine : 4x4byfar
Kwani 4x4byfar ni lady?
Mtoto huanza na kutambaa...wote hao walipita kama mimi tuu. Usijali naweza kupewa cheo kinachoendana na mimi.Huyu hafai kabisa. Thread zake ni za kitoto na kukosa maadili
Nimem-nominate kama JF Super Lady! Hilo swali kamuulize huyo nominee, mambo ya third person communication sihusudishi, ni udaku.
Ndo maanake shosti...siasa kitu gani wabunge, mawaziri n.k kila siku kufisadi nchi na kupeleka pesa kwenye MAPENZI. So hamuoni kwamba hii ndo funga kazi. Ntachangia kile roho inapenda na kufurahi.Acha ku-hate...kila mtu anafanya ile roho napenda..kama mtu anapenda kuchangia kuhusu mapenzi ni yeye huwezi kum-judge na kudhani kuwa siyo smart...yaani nyie mnadhani kuchangia politics ndiyo kuwa smart?...that is so rudiculous na inaonyesha jinsi gani watu mlivyo na ufinyu wa kufikiria....
to all my ladies mnaochangia hoja za mapenzi wala msife moyo na hawa watu wanao underetimate you!...all you need to do follow your heart.....
hicho kijamaa nacho kinafiki fuata upepo......wanadai pumba na bado wanazisoma...si wa ignore..Aaaah unanisingia bana...mimi mwandika pumba siwezi kuwa bombastic kama unavyodai
Mwambie huyo....akileta mambo yake ya yuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu......atatoselewa mbali
hana cha u iron lady....hizi ni kelele za kwenye keyboard.....Muulize NN, ila ni one of those we call Iron ladies so inabidi uwe kwenye A game yako ili kuweza kuwa naye sambamba.